Namtafuta Linda Byaba...

Namtafuta Linda Byaba...

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,114
Reaction score
138,063
Namtafuta Linda Byaba. Mara ya mwisho tulikutana East London, South Africa 2010. Kwa Dar aliniambia kwao Kimara. Kama upo humu njoo PM
 
Nazan itakuwa bado analinda Kimara
 
Namtafuta Linda Byaba. Mara ya mwisho tulikutana East London, South Africa 2010. Kwa Dar aliniambia kwao Kimara. Kama upo humu njoo PM
Unataka kumuoa baadala ya miss natafuta. Hatukuonyeshi ng'o
 
mara ya mwisho kumuona ilikuwa wakati wa bomoa bomoa sijajua sasa ivi wamehamia wapi mkuu
 
Irons are kazed aiseee..... Mbona kutafutana kumezidi.....
 
Haya tumeshajua ulikuwa South Africa
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja aje...
 
Back
Top Bottom