Namtafuta Layla!!

Oooh Cuppy...it's okay....muuuuua...muaaaaa
 
Unajua cuppy nilivyokuwa primary yeah pale Mlimani tulikuwa tunadandia mabus...Wee muulize Moelex atakwambia alafu siku ya kufunga shule tulikuwa tunaambiwa kuna chinjachinja basi weeh tulikuwa tunaogopa sana...

so wakati wa kutoka shule ukifika mnaelekea kituoni eeh bus likija na hivi una crush na jamaa unajifanya sister duuh kweli ila nilikuwa siangalii makunyanzi mwenzio nilikuwa nadandia tena nilikuwa nalianzia mbali kishenzi hata kabla halijasimama then nalidandia.....

Moelex kaka yangu upo wapi! mwenzio na remincing about them old days at Mlimani primary school
 
Napendekeza kwa Invisible Jukwaa la Siasa lifungwe...huku watu wanadiscuss peacefully no haters wala wajuaji looo
 
kumbe weye wa juzi juzi tu
sie tulikuwa tunawakimbia fisi enzi hizo ndo maana ya kuuvaa umande ambapo wengine waliukimbia....
teh teh
 
Napendekeza kwa Invisible Jukwaa la Siasa lifungwe...huku watu wanadiscuss peacefully no haters wala wajuaji looo
shekhe unatuvunja mbavu kweli weye.
si unajua mechi ni uwanjani ila baada ya hapo ni kubadilishana jezi?
 
Nini kimekukumba we bwana…? Unafukua makaburi tu leo.
 
Inafurahisha sana kuona wakongwe bado tupo nanyi mpaka Leo. Nafurahi kupitia nyuzi mkipongezana kufikisha posts 1000 😁
 
Reactions: Lax
Inafurahisha sana kuona wakongwe bado tupo nanyi mpaka Leo. Nafurahi kupitia nyuzi mkipongezana kufikisha posts 1000 😁
Kuna watu wamejiunga humu 2016, 2017, 2018 n.k., lakini leo hii wanakaribia kufikisha mabandiko 400,000!

Mimi wa 2006 hata 100,000 sina.

Hao watu huwa wanayabandika wapi hayo mabandiko yao?

Hata sielewi.
 
Bila shaka unawafahamu wale wa
"Ngoja tuone'
"Yagangwe yajayo"
'interesting'

Kila Uzi yeye ana comment hivyo tu.

Mwingine hivi karibuni alikuja na
I repeat
" As long as I'm still working at the mortuary, no men will be buried uncircumcised"

Kila Uzi anaandika hivyo tu. Post 400,00 zitaacha kufika?
 
Kuna yule mwingine kila post ni Duh! Aisee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…