Namtafuta lakini awe na sifa hizi!

Namtafuta lakini awe na sifa hizi!

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,681
Reaction score
591
KWELI NINA MTAFUTA ILA ANATAKIWA AWE NA SIFA HIZI:

1. MWANAMKE AMBAYE NI NI MWALIMU
2. UMRI UNAO MRUHUSU KUPATA MTOTO
3. AWE AMEISHA YAONA MAISHA NA KJUA NINI MAANA YA MAISHA!
4. AWE ANATOKEA SEHEMU YA MKOA WA KAGERA
5. ITAKUWA VIZURI KAMA ATAKUWA ANAISHI KATIKA WILAYA ZA BUKOBA NA MULEBA
6. KATIKA KUJENGA UHUSIANO HUU KUPIMWA KWANZA NI JAMBO HALIKWEPEKI KABISA. KAMA HAYUKO TAYARI KUFANYA HIVYO BASI ASINIANDIKIE TAFADHARI!
7. KWA SASA HIVI MIMI SIKAI NCHINI ILA NIKO NCHI ZA NJE! MAELEZO YATAFUATIA BAADA YA KONTACTS KUPITIA KATIKA EMAIL YANGU: wabuyaga58@gmail.com
AHSANTENI SANA

WABUYAGA










8.
 
1,4,5,6 ngumu kumesa kila la kheri!!!!!!!!
 
iwee nina sifa zote ila hiyo ya uhaya sina jamani naishi muleba na ninafundisha hapa mleba but mimi sio muhaya. ah! kiroho upande kila la heri
 
njoo kwngu mwaya kupimwa mwiko ila utakuwa mke wa pili!

dah! najiona kama nimeokota apple chini ya mwembe, sina haja ya kujiuliza mara mbili mbili....
nyumba ndogo zinapendwaga sana!!!
 
wewe mutani mbona hivyo! wewe ni felix aweja sasa itakuwaje. Soma vizuri kwani watu wa Musoma hawana sifa hiyo ya uhaya¨!
 
tAFADHARI ZAKIYAH ebu nijue kabila yako kwani ukiwa munyambo au muangaza ninaweza kufumba macho!

wabuyaga
 
Back
Top Bottom