Namtafuta Kisura (JF member)

Hahahaah nimecheka sana hapa kwenye kiofisi chini ya Mkungu looooh Yo Yo!!1
kuna jamaa wangu kategeshewa na shori wake...shori kajinasisha shori mboga saba kasema yeye anachotaka ni ndoa tu....jamaa kawa mdogo kama piliton....nimeona picha zake za harusi kanuna huyo na suti lake jeupe......
 
Icadon ndugu yangu...yeah of course ndoa ni mipango ya mungu na mungu hatakusaidia kama huta work out on it....so wewe utakaa tuu mpaka mungu aje akuletee mwanamke hodari ambaye utakuwa naye hadi kifo kikujiri?.....huwezi ukakaaa tuu home ukasemanasubiri mungu anitafutie kazi....

Hehehe mie nishamake up my mind-I Don't want to get married- sasa I am not looking for huyo mwanamke hodari(whatever that is)....
 
Hehehe mie nishamake up my mind-I Don't want to get married- sasa I am not looking for huyo mwanamke hodari(whatever that is)....

Hata mtoto hutaki?.....mwanamke hodari si yule mwenye moral and value na pia ana keep up with culture au?...
 
kwikwikwikwikwi wanajua vijana chovya chovya......asikuambie mtu kuoa ngumu miaka 7 sasa napanga kuoa kila siku nakutana na mali mpya mpya....

Wewe sio muoaji lol. Ila good luck bro maana mie uwa nawapongeza sana watu wanaofunga ndoa na kukaa faithful kwenye ndoa zao.
 
Hata mtoto hutaki?.....mwanamke hodari si yule mwenye moral and value na pia ana keep up with culture au?...

Hehehe na wewe unaamini kwenye hili "a way to a man's heart is through his stomach"?
 
mnafaidi sana AKA nakubali aisee.....unajua kwa zile totozi namuunga mkono Icadon kutokuoa....

Tuko pamoja mkuu....

Unajua eeh..hivi kwa nini mtu uwe tied na mtu mmoja for the rest of your life? Hamuoni Oprah anavyofanya? Leo yuko na Steadman...kesho yuko na Tyler Perry....
 
Tuko pamoja mkuu....

Unajua eeh..hivi kwa nini mtu uwe tied na mtu mmoja for the rest of your life? Hamuoni Oprah anavyofanya? Leo yuko na Steadman...kesho yuko na Tyler Perry....

Whaaat? Tyler Perry!! wewe?! umeitoa wapi hiyo? bossip?
 
kwikwikwikwikwi wanajua vijana chovya chovya......asikuambie mtu kuoa ngumu miaka 7 sasa napanga kuoa kila siku nakutana na mali mpya mpya....

Kula mboga hiyo hiyo kila siku ngumu saana babu!
 
Hehehe na wewe unaamini kwenye hili "a way to a man's heart is through his stomach"?

LOL!....Hell to the no!....
sizitaki mbichi hizi!...

anyways...I am out! nyie wengine endeleeni kuchanganua yanayojili...i am done for the day...My ride is waiting outside...to take me to the indorr water ride hureeeey!....(they call it honeymoon)

peace out!!

xoxo
 
Back
Top Bottom