Namtafuta Kisura (JF member)

Hongera,ila usibweteke ukadhania ndiyo umeshaolewa,bado;tualikane kwenye shughuli ya handover ceremony kwasababu bila watu kushuhudia tutathibitishaje kama kweli imefungwa ndoa?

Watu kwa MINUSO!!! unaweza kuthibitishiwa bila ya kualikwa, teknolojia imekua sasa. Naskia watatuwekea video from A-Z!!!

Masanilo yeye anataka kufungua vyupa tu au sio shem wa kelly?
 
Watu kwa MINUSO!!! unaweza kuthibitishiwa bila ya kualikwa, teknolojia imekua sasa. Naskia watatuwekea video from A-Z!!!

Masanilo yeye anataka kufungua vyupa tu au sio shem wa kelly?

Kwa kweli mimi kama ulabu hamna hakuna haja mnuso.....tena kwa kuwa watakuwa mamtoni nitamani mwendo wa Brandy na whyskies....
 
mie naomba kuwa mshauri nasaha wa bibi harusi hivyo nipatiwe namba yake tafadhali
 
Shem mimi niliulizia kam a yule mdogo wako bado yupo yupo

Shem yule mdogo wako bado yupo yupo ? Ngoja niwahi kabla ya akina Yo Yo hawatia timu..

Jocelyn anapenda sana tiGo ndo amenihusisha wakati mimi walaaa simo huko hahahaha kwanza ni siri!

Niko serious kale kadogo kako mimi nitafika bei tu.....
 
mie naomba kuwa mshauri nasaha wa bibi harusi hivyo nipatiwe namba yake tafadhali

usikonde ni 1-800-kelly01...Msanii FYI Mimi siyo mkurya na sipendi wanaume wanaopiga mwanaume wangu hayupo yeye hivyo...he is so gentle and a great man.

Niko serious kale kadogo kako mimi nitafika bei tu.....

Oohh please shem no way!....ni kama naruka mkojo nakanyaga mavi nikisema ikupe mdogo wangu kyeruuuuuuuu!.
 
ghee thanx

In case hujaelewa vizuri ni 1-800-535-5901....1-800-kelly01 that is my numebr i think i do need kungwi kwenye bridal shower.....kama unayaweza basi itakuwa very alright!

Msanii afadhali hata masanilo namfahamu...sasa nikupe mdogo wangu wewe ni annoymous alafu naogopa sana annoymous...ni bipolar
 
usikonde ni 1-800-kelly01...Msanii FYI Mimi siyo mkurya na sipendi wanaume wanaopiga mwanaume wangu hayupo yeye hivyo...he is so gentle and a great man.

Oohh please shem no way!....ni kama naruka mkojo nakanyaga mavi nikisema ikupe mdogo wangu kyeruuuuuuuu!.

Oyaah basi wewe niunganishie tu mpe contacts zangu ninakuPM teh teh teh hapa jukwaani kuna Msanii naona naye anasalandia kitu!
 
In case hujaelewa vizuri ni 1-800-535-5901....1-800-kelly01 that is my numebr i think i do need kungwi kwenye bridal shower.....kama unayaweza basi itakuwa very alright!

Msanii afadhali hata masanilo namfahamu...sasa nikupe mdogo wangu wewe ni annoymous alafu naogopa sana annoymous...ni bipolar

dah kudadadeki imekaaje hii. enewei simu ya kwanza ahsubuhi kesho.

kuhusu mdogo wako sidhani kama weye ndo una uchungu sana naye zaidi ya yeye mwenyewe hivyo mweleze kuwa mie huwa nang'ata kisha nipe namba yake nijaribu kumpigia zilipendwa kisha akinunua album mtoto wa kwanza wa kiume trust me.

Naona masanilo ameamua kupigania msituni (PM) enewei si haba nikijaribu ila aisogope maana akimuwahi atamega and mie nikija kumega awe mpole pia
 
wala usisumbuke na PM shem wangu ni kwamba NO!..in Caps!....

hapo bado hujawa mama, je ukiwa ndani ya nyumba kamili halafu mkafuga paka wa kike si utamwonea wivu wewe asitoke hata uani asijekuparamiwa na mipaka shume ya kitaa? Kelly lainika kidogo rusha sandakarawe watu tugombee hazina
 
Shem hebu tupe uhondo.... tueleza bingwa ame propose vipi?....ili nami nitumie njia hiyo hiyo, by the way nimepata mail ya mdogo wako hahahaha natafuta mashairi nimtumie
 
Mdogo wangu siyo mzoga hadi nirushe sandakarawe!.....she has classy!
 
Shem hebu tupe uhondo.... tueleza bingwa ame propose vipi?....ili nami nitumie njia hiyo hiyo, by the way nimepata mail ya mdogo wako hahahaha natafuta mashairi nimtumie

hahahaha unataka kujua how it happen uh!...nyoooo...ok ngoja nikupe 411....kaa mkao wa kula....maana it was owesome and so romantic!..
 
Ok ilikuwa ni jumapili (easter Sunday) ….tulikwenda for brunch after church..then tukarudi nyumbani I think mancherster united walikuwa wana play with this another team ..as you know me I don't like watching fotbal but I just watch it kwa ajili yake….ok so nilikuwa nimevaa boy shot and shati lake kwa juu nay eye alikuwa amevalia ile traki yake na singlendi (LOL!)…Huku anakunywa patron…and me nilikuwa nimemlalia kwenye mapaja yake…
Then after 30 minutes akaniambia babe…wake up !nikamwambia why si tunaangalia game akasema no I wante you to watch this video nimerecord…I was like ok!...omg! kumbe ile video ni yeye kajirecord bwana akasema Kelly01 nzafla semaganya you know I love you so much and I want to spend the rest of my life with you…."will you marry me"…yaani I cried I was like whaaat?....oh mg god ooh my god! Ooh my god…I was like yes! Yes! Yes!..i will marry you!(i was so emotional)....then we kissed!......(curtains closed)….

wooow and i am still emotional!...

Cheers!
 
Ok ilikuwa ni jumapili (easter Sunday) ….tulikwenda for brunch after church..then tukarudi nyumbani I think mancherster united walikuwa wana play with this another team ..as you know me I don’t like watching fotbal but I just watch it kwa ajili yake….ok so nilikuwa nimevaa boy shot and shati lake kwa juu nay eye alikuwa amevalia ile traki yake na singlendi (LOL!)…Huku anakunywa patron…and me nilikuwa nimemlalia kwenye mapaja yake…
Then after 30 minutes akaniambia babe…wake up !nikamwambia why si tunaangalia game akasema no I wante you to watch this video nimerecord…I was like ok!...omg! kumbe ile video ni yeye kajirecord bwana akasema Kelly01 nzafla semaganya you know I love you so much and I want to spend the rest of my life with you….”will you marry me”…yaani I cried I was like whaaat?....oh mg god ooh my god! Ooh my god…I was like yes! Yes! Yes!..i will marry you!(i was so emotional)....then we kissed!......(curtains closed)….

wooow and i am still emotional!...

Cheers!

Ohh my God

I like the last part is so romantic, I guess you guys went for a quick one....as usual huwa ni tamu sana....hongereni nina uhakika hakutakuwa na heart breaking kwa mmoja wenu!
 
Back
Top Bottom