Namtafuta Kisura (JF member)

kwikwikwikwikwikwi.....Umenifurahisha mpaka nimecheka....wala hana aibu ila he came up with his different style you know!....You are so stupid!(In good way though)... hahahaha LOL

I take that as a compliment in reverse..Watu wanaofunga pingu za maisha nawapongeza sana maana kila nikifikiria kuwa tied down napata cold chills.

Kweli sijamuona kisura akichangia hapa siku nyingi sana, labda amekwenda likizo ya maternity(according to her avatar).
 
LOL!....You never know anaweza akawa yupo maternity maana ile ni fulltime job!...

so mr Icadon wewe kwa mtazamo wako ni kwamba hutakuja kuoa kabisaaaa?...so utakuwa unachezea tuu watoto wa watu bila kuwa na commitment nao?...that's whack yooh!....unajua its good kuwa na mwenza wako for better and for worse.
 
Kwa nini ufuge ng'ombe wakati unaweza kupata maziwa bure?

Kuoa No!!! unakuwa na best friend ambaye mnakuwa mnatimiziana mahitaji yenu na ikiwezekana mnaambatana ata kwenye shughuli za kijamii, kifamilia nk.
 
that is friend with benefits!....
 
Kuoa No!!! unakuwa na best friend ambaye mnakuwa mnatimiziana mahitaji yenu na ikiwezekana mnaambatana ata kwenye shughuli za kijamii, kifamilia nk.
acheni uhuni vijana...tafuta mwenzi wako,kapimeni afya zenu kisha kawaoneni wazazi mfunge ndoa....ndoa tamu bana..
 
You got a point!...ndoa ni nzuri pale utakapopata mtu ambaye mko on same page you think alike and communicate better....like a said before Not easily broken...mtakaa happy ever after...lakini kama unatafuta kuoa ili mradi ufurahishe community you will end up depressed for the rest of your life ndani ya hiyo ndoa....Ndoa is a great thing and health....

2010 yo yo tupo pamoja!
 
Si ndio hapo sasa. Usikute thread yenyewe imeanzishwa kwa nia ya kumhujumu NN. Poor guy...

what have NN done kwani mpaka uhujumiwe?!...Niliyeanzisha thread ni mimi and i know what happen behind the scene...why do you say poor him may be its him who engaged me? or may be not i dont have to reveal!....sijaanzisha kumuhujumu NN....NN is my best friend and my cupcake so i dont kno what is you talking about!....hao wanaomsema wana lao jambo kutaka kumput him down and i will never do that period
 
acheni uhuni vijana...tafuta mwenzi wako,kapimeni afya zenu kisha kawaoneni wazazi mfunge ndoa....ndoa tamu bana..
Unaanza kusound kama wazee wengi wa kitanzania sasa, maana wao kila kijana ambaye hajao au kuolewa ni mhuni ebo!!

You got a point!...ndoa ni nzuri pale utakapopata mtu ambaye mko on same page you think alike and communicate better....like a said before Not easily broken...mtakaa happy ever after...lakini kama unatafuta kuoa ili mradi ufurahishe community you will end up depressed for the rest of your life ndani ya hiyo ndoa....Ndoa is a great thing and health....

2010 yo yo tupo pamoja!

Wengine ni fast readers hayo mambo ya same page inakuwa temporary tuu.

At the end of the day ndoa ni God's wish(IMO) so kama umepangiwa kuishi kwenye ndoa mpaka kifo it will happen kama hujapangiwa ilo oh well....
 
Icadon ndugu yangu...yeah of course ndoa ni mipango ya mungu na mungu hatakusaidia kama huta work out on it....so wewe utakaa tuu mpaka mungu aje akuletee mwanamke hodari ambaye utakuwa naye hadi kifo kikujiri?.....huwezi ukakaaa tuu home ukasemanasubiri mungu anitafutie kazi....
 
what have NN done kwani mpaka uhujumiwe?!...Niliyeanzisha thread ni mimi and i know what happen behind the scene...why do you say poor him may be its him who engaged me? or may be not i dont have to reveal!....sijaanzisha kumuhujumu NN....NN is my best friend and my cupcake so i dont kno what is you talking about!....hao wanaomsema wana lao jambo kutaka kumput him down and i will never do that period

Kwa nini usingemtafuta Kisura wa watu kwenye PM yake? Unajua kuna watu hawapendi kuanzishiwa thread?
 
Kwa sababu nimeshaandikia PM NA hajajibu that si why nimeweka hapa labda kuna msamalia mwema anajua where about kisura and which watu wamejitokeza na wameshanieleza kwenye PM...

Thank's to ya"ll who did that i appreciate!....

Ila people dont talk bad about my cupcake pleaseeee!na wala siyo Pirate na waka hapigi magumu na hatukani...he is so gentlemen.....he is still and he will remain that!....
 
Unaanza kusound kama wazee wengi wa kitanzania sasa, maana wao kila kijana ambaye hajao au kuolewa ni mhuni ebo!!
kwikwikwikwikwi wanajua vijana chovya chovya......asikuambie mtu kuoa ngumu miaka 7 sasa napanga kuoa kila siku nakutana na mali mpya mpya....
 
Hahahaah nimecheka sana hapa kwenye kiofisi chini ya Mkungu looooh Yo Yo!!1
 
Back
Top Bottom