Mateja M.G Yango
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 613
- 1,097
Alisoma maua seminary.....then akaja mzumbe na chuo amemaliza UDSM LLB 2011. Kwao gombo la mboto na mwaka huu mwezi wa 3 alifiwa na mama yake mzazi.
Anafanya kazi UBA, pale nyerere road, Tazara branch. Cm ntakuforwadia phone yake kwenye PMNshamwomba mtu anitafutie uko fb.
Ni PM.Namtafuta nina shida nae binafsi.
ukimpata mwambie na mimi namtafuta, namdai hela yanguWapendwa habarini,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba kwa anayemjua anipatie namba yake pm.
Tafadhali sana.
Asanteni
Huyu jamaa wakati niko form six Tanga Tech yeye alikuwa form One. Nilikaa nae bweni mojaHabari yako Mkuu, huyu ndo unamtafuta? au ni mwingine?
View attachment 346881