Ninamfahamu sana, ila kwa utaratibu wa kawaida kuna mawili. aidha wewe unipe namba yake niitume kwakwe au nimfikishie taarifa kuwa kuna mtu anamtafuta jamii forums, kindly choose one option
Kwanini usiweke details muhimu kama chuo alichosoma na mwaka aliomaliza!!! Ili kama kuna mtu anayejua mtu mwingine aliyemaliza huko akusaidie kuuliza??