Namtafuta Jeff Dasony

Namtafuta Jeff Dasony

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
381
Habari ndugu?
Ninaomba msaada kwa yeyote anayemfahamu Jeff Dasony, popote pale nitakapoweza kumpata. ikiwezekana namba ya simu, ama mahala anapoishi ama anapofanyia kazi na hata mtu yeyote anayemfahamu nitashukuru sana.
Ni ndugu yangu ambaye tumepotezana naye miaka mingi na ninamtafuta muda mrefu sasa.
Msaada tafadhali.
 
umepotezana nae miaka mingi?kwao haukufahamu?je kama amebadirisha jina?mimi nakushauri ungeanza kumfuatilia kwao kwa ndugu zake...hata kama na wewe unasema ni nduguyo...
 
mpaka nakuja hapa maana yake nimejaribu kumtafuta kila mahala. Pengine humu kuna anayemfahamu.
 
ok pole mkuu,ila walio wengi wakiingia mjini majina huwa wanayabadili kwa sababu wanazozijua wenyewe....tusubiri waje,
 
Back
Top Bottom