Namtafuta huyu kaka

Naona kila mtu anadhani kuna tatizo, NO hakuna tatizo. Ukweli ni kwamba huyu mtu ndiye aliyenibikiri and since we lost each other sijawahi kufurahia mapenzi. I want him baaack
 
Naona kila mtu anadhani kuna tatizo, NO hakuna tatizo. Ukweli ni kwamba huyu mtu ndiye aliyenibikiri and since we lost each other sijawahi kufurahia mapenzi. I want him baaack
Ungenyoosha tu maelezo mapema thread isingefika mbali hivi angejitokeza.

Je ulikuwa unampa mauno ya kweli, au ndio wale wale wa kwenda kuogea nyumbani?
 
Wewe ni mwongo wa kutupwa. Huko hakuna sehemu inaitwa ''Horiri''.
 
Mlikutana kwenye send off jamaa akahakiki.. Ina maana huko chuo mlisoma wawili? Na social media zote hizi? Lhaaa unatuchota sema ukweli
Maisha magumu, anamtafuta mwenzie wa zamani ili wapigane jeki asiaibike mjini!!
 
wadau ni kutaka kujua tu ...hivi kuweka picha ya mtu kwenye mitandao ya kijamii bila ya ridhaa yake , hii imakaaje wadau kisheria ni kosa au si kosa..? naomba tu kufahamishwa.
 
Shikamoo bwana mdogo.. Sijaelewa
 
Ungenyoosha tu maelezo mapema thread isingefika mbali hivi angejitokeza.

Je ulikuwa unampa mauno ya kweli, au ndio wale wale wa kwenda kuogea nyumbani?
Ungenyoosha tu maelezo mapema thread isingefika mbali hivi angejitokeza.

Je ulikuwa unampa mauno ya kweli, au ndio wale wale wa kwenda kuogea nyumbani?
Baba ake Dundo_Boy anaujua mziki wangu, anahs kiuno changu hakina mfupa
 
Huyo kama namfahamu,na kaka yake nafanya nae kazi!...Ila picha haifunguki kwangu..
 
Mi naishi Dar,ingawa kwa sasa sipo huko....kaka yake anafanyia morogoro?Mi namfahamu sana kaka mtu,ila najua ana mdogo wake anaitwa frank na wote ni wakazi wa DOM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…