Namtafuta huyu kaka

Namtafuta huyu kaka

Bibi Ake

Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
48
Reaction score
25
Habari zenu wapendwa katika bwana,

Mie sie mwenyeji sana humu JF lakini nahisi nipo mahali sahihi.

Kuna rafiki yangu namtafuta anaitwa Frank, tulikutana Morogoro chuo cha afya na aliniambia kwao ni Dar japo kila tukifunga chuo alikuwa anaenda Dom kwa kaka yake ambaye anakaa Kisasa.

Kwa mtu mwenye kumjua ama mwenye mawasiliano naye naomba anisaidie, ni pm.

Picha yake hii hapa
img-20151015-wa0000-jpg.422491
 
Tulificha sura na Id fake, sasa mdogo mdogo tunaanza kutoka hadharani. We md ndo wewe huyo???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom