Namtafuta huyu dada

Namtafuta huyu dada

Unachezea watu akili, wakati huyo hapo ni wewe mwenyewe.. Unatafuta kuona kama watu kama watasifia au kuponda...

Cc: mahondaw
 
Huyo ni Afisa Mtendaji wa Mtaa, kahamishiwa hapa Mtaani kwetu kutokea Ubungo hata miezi miwili bado!
 
Ndo mana nasemaga kuna mikoa viroba bado vinazagaa, sasa huoni kama mpo wawili? Au ni msukule ww humuoni? Si useme tu wewe ni yupi?
 
Back
Top Bottom