Namtafuta Daudi kusekwa wangu

WEWE NI AINA YA WANAWAKE AMBAO HUWA NAPENDA WAIJAZE DUNIA YETU.

SINA SHAKA ULIACHANA NA BABA MTOTO WAKO KWASABABU TU ULIAMUA KUTAFUTA UHURU WA MAISHA YAKO YENYE AMANI NA FURAHA.

SINA SHAKA KWAMBA HAKUA MTU SAHIHI KWAKO NAKWAMBA HATA YEYE MWENYEWE HAKUTOSHA MIZAN YAKO ALIPOJIPIMA.


NMEKUPENDA SABABU.
[emoji117]MCHA MUNGU( hata kama unweza kua umeongopa ila kitendo cha kumtaja Mungu kinatosha.)
[emoji117]UNAJIELEWA KWA UJUMLA LINAPOKUJA SUALA LA MAISHA .
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]UMEZAA LAKINI BADO UNAJIAMIN KIASI KWAMBA BADO UNAHITAJI MWANAUME ANAUEKUFAA NASIO TU KUTAFUTA MWANAUME KISA UMEZAA .


NIKUAMBIE...HUMU NDANI KUMEJAA WAPIGAJI. WATAFUTA UCHI NA WAAMBUKIZA UKIMWI WATU WENGINE..

HAWA WAKIJA UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO ..UTASIKIA
[emoji117] Umezaa lkn unamashariti
[emoji117]Punguza masharit umeshazaa

Kwa ufupi ni MIJAUME ,MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA, YENYE UKIMWI AMBAYO ITALAZIMISHA KUKUFANYA UJIONE "DHAIFU" ILI ULEGEZE, UWE NA HURUMA MWISHOOOOOOOO IKIPATA UCHI ISEPE.

NANYINYI MIJANAUME MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA AMBAYO KWENU MPO KUUNGUZA WATU.
HUYU MWANAMKE MUMUACHANE, ITS BETTER KUTULIA TUUU NASIO KUMFATA NA KUZIDI KUMUHARIBIA .


MAMA TULIA. USIWE NA HOFU, UMRI BADO NAHATA UNGEKUA UMESONGA AMINI NAKUAMBIA KUNA WAKAT MUNGU ABAKUSUBIRISHA ILI AKUPE FURAHA YENYE KUDUMU NA AMBAYO ITAKUA YAKO DAIMA.
 
Umeshazaa na mtoto halafu unasema hautakuwa Tayari kufanya mapenzi mpaka siku ya ndoa. Ungekuwa bukra Sawa Ila umeshachezewa halafu saizi unajifanya eti mpaka ndoa. Ukipata mwanaume mpe anachohitaji ilimradi awe na malengo Ila ukisema na mzigo hutoi halafu Una mtoto hakubali mtu utaendelea kutafuta mpaka 40.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binasfi huwa nashangaa wanawake wanao tafuta wanaume kwenye mitandao hasa humu jamiiforums, dharau zimejaa humu.
 
Mkuu umeongea point mwenyezi akubariki sana! Lakini nina shaka usije ukawa ni wewe ndo mtoa mada umekuja Kwa I'd nyingine kujitetea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana kaka yangu, umeusema ukweli wote wa moyo wangu, ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno mengii ya nini ? Wewe mfuate kama umekidhi vigezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa upande wangu huwa sioni mwanamke kuweka vigezo viiiingi. Wewe kikubwa omba Mungu tu upate mume bora siyo mara awe amejiajiri sijui mavituvitu gani!
Yann yote hayo? Mwanaume anaweza akawa na vyote hvo lakin bado asiwe mume bora wa kutunza familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee...pole sana Mama, Mungu akuongoze lkn sikushauri kabisa utafute Mwanaume humu mitandaoni.

"Time is a wealthy when it's timed consecutively"


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…