KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Tafadhali sana naombeni msaada wenu wa jinsi gani au nifanyeje namtafuta dada yangu anaitwa
Ghati Josephati Magoiga,sijawahi onana nae tuliambiwa na baba kuwa tuna dada yetu anaishi Nchini Uganda alizaliwa mnamo mwaka 1982 nyumbani kwao alipozaliwa panaitwa Bujiku.Sikuweza kusikia
Mimi ila niliambiwa mwaka 2007 aliwahi kutoa taarifa redio free africa kuwa anamtafuta baba yake ambaye ambaye anaitwa Josephat Magoiga alikuwa mwanajeshi toka Tanzania alishiriki vita ya kumng'oa Iddi Amini ambaye hajawahi kumuona maana aliondoka Uganda tokea kipindi cha vita vya Kagera
Mama yake aliachwa akiwa na ujauzito wake na alipozaliwa tu mwaka 1982 mama yake alimtumia baba barua ya kumtaka ampatie jina la kumuita mtoto huyo aliyezaliwa na baba aliijibu barua kwa kumtumia jina kuwa aitwe Ghati Josephati tokea hapo walipotezana mawasiliano hadi hivi sasa, tokea alipotoa taarifa ile mwaka 2007 kupitia RFA kuwa anamtafuta baba yake.
Alijitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye ubalozi wa Sweden nchini Uganda.Kwa bahati mbaya mimi binafsi sikuipata taarifa hiyo redioni ila niliambiwa na baba ambaye nae aliambiwa kuwa anatafutwa. Sasa sijui hata
nianzie wapi naombeni mwongozo wenu.