Namtafuta Dada yangu Monalisa Msuya

nyundo2017

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
1,439
858
Habarini,

Dada yangu huyu aliolewa kigoma na fundi umeme mtumishi wa tanesco kwa jina Kulwa na baadae walihamia Dodoma na hadi sasa wanaishi Dodoma.

Yoyote aliye na mawasiliano nae aniunganishe nae,plz!!
 
Ushauri wangu,Panga siku uwende Dodoma,nauli yake kutoka Dar - Dodoma haizidi elfu 25,unaanzia kwenye branch yao Tanesco hapo mjini ndipo ilipo utaweza kupata msaada kwa haraka sana,na itakuwa ni vizuri zaidi ukaonana naeshemeji yako
 
Duh na teknolojia ya sasa afanye hayo!!! Kama si mwajiriwa tena? Kurusha humu ni mwanzo mzuri.. Bora hata ungemshauri apige simu huko kwanza.

Au labda wewe ni huyo shemeji au ndugu ujuayo kile ambacho hakifahamu.
 
Habarini,

Dada yangu huyu aliolewa kigoma na fundi umeme mtumishi wa tanesco kwa jina Kulwa na baadae walihamia Dodoma na hadi sasa wanaishi Dodoma.

Yoyote aliye na mawasiliano nae aniunganishe nae,plz!!
Ingependeza kama ungepata jina la pili la mumewe Kulwa...
 
Back
Top Bottom