Namtafuta Bw.Anwar Katwila

swan

Senior Member
Oct 11, 2012
132
356
Nilisoma naye Morogoro, baadae nilisikia yuko Udsm engineering.
Yeyote anayejua his whereabouts.
 
Yule mwanamme ni mbishi hatari hana accounts kwa social nets, si kind ya wale wanaofake life pia
Chukua ilo jina lake andika google...
Unaweza mbahatisha Insta, FB au LinkedIn just in case kama hakuficha utambulisho. Maana kuna wengine nyumbani anaitwa Shabani Abdallah huko( social nets )/anakuwa Kendrick Lamar
 

Smart911 wa 2012 huyu
Mi na wewe nani mgeni? najua mpaka wewe na mahondaw are an item, najua we ni mzee wa subiri waje wakupe muongozo....uongo??
Screenshot_2020-04-25-20-19-11.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi na wewe nani mgeni? najua mpaka wewe na mahondaw are an item, najua we ni mzee wa subiri waje wakupe muongozo....uongo??

Inawezekana ikawa ni uongo... sababu binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

ID yako nyingine ni ipi??


Cc: mahondaw
 
haya tuma salam zingine kwa watu watatu ukimalizia kwa neno "nawapenda sana"

Sent using Gun Trigger
 
Back
Top Bottom