hyperbolic
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 459
- 525
Tafuta njia nyingine ya kumtafuta aisee
HeheheheheSio wivu hata maana mimi sio wa kwanza kwake. Imagine huyo beatrice ni dada yako, na unajua comments za watu humu nyingine za kijinga. Haina ustaarabu hata kidogo.
Mpenzi wangu wa zamani akinitafuta kwa mtindo huu ndo hanipati ng'oHehehehehe
Basi msamehe mpenzi wako wa zamani
Huwez kumbania pale naww unapokuwa umemiss busuMpenzi wangu wa zamani akinitafuta kwa mtindo huu ndo hanipati ng'o
Tatizo litakuwa ni yeye kunianika mtandaoni kiasi hiki. Kuna namna ya kumpata mtu kirahizi zama hizi..Huwez kumbania pale naww unapokuwa umemiss busu
Sasa anakupataje hana namba yako kwny mitandao mnajiita majina ya kizunguTatizo litakuwa ni yeye kunianika mtandaoni kiasi hiki. Kuna namna ya kumpata mtu kirahizi zama hizi..
HahahahhaaaaaaaYuko manushi sinde anakunywa mbege
Mungu wangu.......jf kuna majibu jamaniHuwa anaenda kenya kuuza papuchi kipindi cha bunge la kenya.