Namtafuta Beatrice Francis

Namtafuta Beatrice Francis

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,162
Dear members!
Namtafuta huyu mwanamke mwenye jina hilo.
Alikuwa mpenzi wangu japo sikuwahi ku sex naye japo Romance tu. Kwao ni Moshi, Manushi Sinde au Manushi ndoo.
Ilikuwa mwaka 1998/99 tulipopotezana ghafla kwa kufukuzwa haraka sana bila kuniaga., kosa ni mimi kuwa na uhusiano naye. Aliishi Morogoro kipindi hicho kwa Marehemu Kamete au Mama Pendo, Manka.
Kama kuna mtu yeyote anamfahamu aje PM kwa mawasiliano naye zawadi nitatoa. Nilisikia kuwa ameolewa na hupendelea kwenda Kenya nk.
 
Sasa kama umesikia ameolewa si upige kimya tu ili uheshimu ndoa yake? Umemtaja mpaka majina na kila kitu kinachomtambulisha kiasi kwamba siku hata akiaga kwa mumewe kwenda sehemu fulani lazima jamaa akatae na tena ni hatar kwako pia.
Kama jamaa akiona ujinga kama huu wa kumtafuta mkewe tena kwa kujitambulisha kuwa wewe ulikuwa mpenzi wake basi lazima akufanye mbaya ili akufunze adabu siku nyingine ukishasikia mtu kaolewa basi kaa mbali naye hata kama mlizaa mapacha.
 
Wanawake wote hawa wote waliojazana bado unaangaika na huyo tu!!!!!!
 
Nyuzi nyingine zina nia ya kuharibiana tu. Imagine mwenzio alishaolewa hlf mume wake apite hapa aone unamdiscuss jinsi mlivyokuwa wapenzi. Mambo mengine muwe mnafikiria kabla ya kupost.

Kwahiyo ww mumeo akiona hapa ulimpa mtu denda la karne mwaka 1998 atakasirika?!
 
kweli miaka hyo ukipewa romance unashukuru...siku hizi unapewa kwanza papuchi na mengine yanafuata..
 
Ndio, haileti picha nzuri. Bora angesema tu anamtafuta sio kuhusisha mapenzi.
Hahahaha


So angekuwa ndio mwanamke anakumbuka denda la mkeo la miaka hiyo ungemkasirikia mumeo?!

Una wivu.
 
Jaribu kumsechi facebook.

Au sechi ndugu Yake fb

Au sechi Rafiki Yake fb

Utapata link ya kumpata.
 
Hahahaha


So angekuwa ndio mwanamke anakumbuka denda la mkeo la miaka hiyo ungemkasirikia mumeo?!

Una wivu.
Sio wivu hata maana mimi sio wa kwanza kwake. Imagine huyo beatrice ni dada yako, na unajua comments za watu humu nyingine za kijinga. Haina ustaarabu hata kidogo.
 
Back
Top Bottom