Bantu mivocha.
Nakumbuka alikua na challenge yake ya kumwaga mivocha ya kutosha kila siku, sikuwahi kuambulia hata siku moja.
Kuna dada anaitwa Hope urassa, yule alikua na speed ya vidole isiyo ya kawaida. Katika vocha 20 zitazowekwa, 15 anapita nazo yeye. Alafu alikua halali, hata vocha ziwekwe saa tisa usiku yumoo