YoungBuffet
New Member
- Jun 7, 2019
- 2
- 2
Habari member wenzangu wa JF,
Mimi ninamtafuta baba yangu ambaye hata kwa sura simfahamu ila kwa maelezo ya mama jina la baba ni STANLEY JACOB FIFI na ni mwenyeji wa IRINGA lakini alikuwa anafanya kazi Dar na huko ndiko walikokutana na mama.
Mama hajawa muwazi kwangu nahisi pengine walikorofishana mama akawa na kinyongo hadi leo. Nimeona ni bora niandike uzi huu hapa JF pengine unaweza kuwa msaada kwangu kumpata baba.
Pia kama wewe ni mtu wa ukoo wa FIFI naomba nicheki angalau hata nifahamu vitu vichache kuhusu huu ukoo ambao kwa maelezo ya mama yangu ni ukoo wangu.
Asanteni sana 0656738261