Kwel aisee zacharia maseta n mdogo wako??wajomba wote awaelew.. na mjomba evance yupo sumbawanga sikuwahi kumuona huwa namsikiaa.. ma mkubwa leokadia ndo alienilea tokea mama amefariki nae afahamAisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Yah , huyu mshikaji tunafahamiana vzr tu ..sema kwa sasa mi niko dar , yy kwa mara ya mwisho nilimuacha mbeya mjini kwa babu yake mzaa mama yake amejenga maeneo ya simike nyuma ya hosptali ya wazazi ya meta ...mengine hayo ya kuhusu kutokujaliana mi cjui nn kimetokea ..maana nizaidi ya miaka 13 toka tusambalitikeKama atakuwa ni ndugu yako nahisi unamfahamu hata sura yake, je upo tayari kuonana nae na kumsaidia kuyajua anayotaka kujua?
Na kwanini ukoo wa mama yake mko hivyo, mna majibu ila hamtaki hamjue baba yake hadi aje kuuliza kweye mtandao?
[emoji2] [emoji2] inawezekana aisee sabab na mim napenda sana mambo ya kijeda hatarUsikute huyo baba alikua mjeda maana wale ndo huacha watoto kila sehemu wanayoenda
Kumbe Una Magroup Mengi Hongera Kwa Hilo Ndugu Yangupole mkuu nitakusaidia kusambaza kwenye magroup tumpate
Mi nakufahamu hata ww unanifahamu vzr tu ..zakaria maseta ni mdogo wangu baba mmoja na mama mmoja ..ww si unaitwa John ??Kwel aisee zacharia maseta n mdogo wako??wajomba wote awaelew.. na mjomba evance yupo sumbawanga sikuwahi kumuona huwa namsikiaa.. ma mkubwa leokadia ndo alienilea tokea mama amefariki nae afaham
Hapana mim n geofrey John n kaka yang na yey hata aelewi yupo wapMi nakufahamu hata ww unanifahamu vzr tu ..zakaria maseta ni mdogo wangu baba mmoja na mama mmoja ..ww si unaitwa John ??
Asant sana kadadaaPole
Nipe mawasiliano yako bcHapana mim n geofrey John n kaka yang na yey hata aelewi yupo wap
Mmeitwa majina kama kwetuHapana mim n geofrey John n kaka yang na yey hata aelewi yupo wap
Sawa kaka nitaendelea kufuatilia kote hukoHilo jina la ALEXANDER SESELELA ni sahihi kweli. Kuna makabila wanapenda kuwapa Watoto wao majina ya babu ndo kuwa majina ya baba zao Wako wengi sana na hii inasababishwa na machungu wakati mwingine kutendwa na mzazi wa kiume.
Usichoke kutafuta utampata tu, ukipata Muda nenda kwa makampun ya magazeti na media vyombo vya habari kama radio waandike taarifa zako za muhimu
Asant sana ndugu yang..c unajua majaribu tumeumbiwa binadaam..Pole sana! Ndugu yangu! Mimi najua maswali mengi unayo kuwa nayo unapokuwa kwenye hali kama hii sababu na mimi nimepitia hali hii nilikuja kutana na baba nimemaliza chuo kikuu baada ya kuniacha sijaanza hata nursery. Kwa hiyo nakuelewa sana