Mama yangu alikuwa ni mfipa lakin kwa kumbu kumbu zangu cjawah kusikia kama ameishi sumbawanga zahid ya kwenda kusalimia na kurudi.. na hapo hapo alikuwa mtumishi wa serikal kuptia askar magereza.. na ktu kingine ninachofaham kuhusu ukoo wa mama angu n kuwa hakuna ukaribu kila mtu anaishi kivyake na familia yakekuna wadau wanaulizia asili ya mama yako, nayo hujui? inawezekana hujui kwa sababu ambazo pia sisi hatujui, hata hapo ulipokulia nao hawajui hata ukoo wa mama? nia yetu ni wewe upate msaada unaohitaji, ndo maana unaona kila mmoja ameguswa na uzi wako! hebu funguka kdg basi kwa unachofahamu kuhusu mama make umeshasema kuhusu baba hujui lolote zaidi ya jina, ingawa pia hata hilo jina utakuwa umesikia kama si kwa aliyekulea basi mama, that means walau ulikuwa na uelewa flani wakati wa uhai wa mama
Asant sana mkuu.Pole Sana mdogo wangu nimeguswa mno,nakuombea kwa mola akuunganishe na baba ako ama ndg wa upande wa babako jipe moyo mkuu!
Tatizo husemi mama yako aliishi wapi yaani mji kama alikuwa magereza ni yapi? Humaliizi sentensi ndo maana watu tunakuuliza sana.Mama yangu alikuwa ni mfipa lakin kwa kumbu kumbu zangu cjawah kusikia kama ameishi sumbawanga zahid ya kwenda kusalimia na kurudi.. na hapo hapo alikuwa mtumishi wa serikal kuptia askar magereza.. na ktu kingine ninachofaham kuhusu ukoo wa mama angu n kuwa hakuna ukaribu kila mtu anaishi kivyake na familia yake
Polee sana mkuu..nakuombea umpate jamani..mi mwenyewe nlihangaika nkaeka na bandiko humu.nkaenda hadi fb na insta but nliambulia kujua asili ya surname yake ni uchagani huko.wengi hawamjui.ila ntaendelea
Mwombe Mungu ipo siku utakutana naye si ajabu na yeye anakuwaza na kukumbuka kuna sehemu aliacha mtoto.Yan dadaa diva hyo cjui itakua mara ngap
Atleast umempa mwangaza kidogoAisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Haya malizana na huyu...Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Nmeenda kufika nmekuta watu wengi wapya wengne nimewasahau yan purukushan hadi basi..lakin sahiv mim nimeamia mby alipozikwa mama labda ndio nitaendelea kufuatilia taratibu kuhusu mamaFanya kitu kimoja nenda sehemu uliko zaliwa/alipokuwa anafanyakazi mama then utapata detail zote maana naamini huko utawapata marafiki wa mama wao ni rahisi kumfahamu baba yako
Naomba iwe kweli mkuuAisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Usikute huyo baba alikua mjeda maana wale ndo huacha watoto kila sehemu wanayoendaUki-google unapata Wasouth Africa tu.
Kama kuna mtu angekuwa anatumia hilo jina basi ungeliona hata kwenye tovuti ya Necta.
Hapana mim nimezaliwa taboraJibu hilo swali la wadau hapo kwamba ulizaliwa Morogoro? Ili tuhitimishe kwamba wewe utakuwa mtoto wa mpigania uhuru wa South Africa.
Utampata tu sema inabidi kina mama tuwe tunaweka kumbukumbu za wazazi sehemu na kuziacha hata kwa ndugu kuepusha hii halinakuombea umpate jamani..mi mwenyewe nlihangaika nkaeka na bandiko humu.nkaenda hadi fb na insta but nliambulia kujua asili ya surname yake ni uchagani huko.wengi hawamjui.ila ntaendelea
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wangu
Na mim namtamfuta sio kwa ajil ya msaada wake wala nin.. shida yang nimjue tu kama kuumia nimeshaumia sana na n hal nilio izowea kwa mda mrefu sana na ninazid kupambana nayomadingi co watu wa kuwatafuta kama humjui piga kimya unaweza kukutana nae aka kukataa kinoma noma afu ukaumia zaidi
Umemsoma huyo ndugu yako hapo juu? Aliyaandika ni sawa? Kama ni sawa wasiliana naye utapata zaidi.Hapana mim nimezaliwa tabora