Japo nimelelewa na wazazi wote na mpaka sasa wapo na mm nina familia, nmesoma comment yako machozi yamenitoka, pole sana mkuuDhaaa ebhana tunafanana story yan mpaka now me cjui kosa la me.nilikua naogopa kumuuliza mother may be ningemtia machungu.sasA nae ndo ivo mungu kampenda now nipo home ata sijui nianzie wapi[emoji19] [emoji19] [emoji19] dhaa adi nimeshindwa kwenda chuo story yako imenitonesha bro[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] mungu akusaidie2 mungu wetu sote[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Mama yangu alikuwa n askar magereza..tulikuwa tunaishi mim na yey tabora kabla ya mwaka 2001 kuamia mby na 2002 yey kufarik.. sijawahi kusikia chochote kuhus baba wala kumuonaVyema ungeongezea maelezo, mama yako alikuwa akiishi wapi..na ni miaka ipi..na enzi hizo hata kwa kusikia baba na mama yako walikuwa mkoa gani? Tia tia vitu ambavyo vitaleta maana.
Hatujala na hata tukila hatushibi.
Mama alikuwa anaitwa marietha zacharia na alikuwa ni mfipa.. kuhusu upande wa baba sifaham chochotndgu taarifa hazijitoshelez mbona,jalibu kuorodhesha yafuatayo
taalifa za mama
i.yy aliitwa nan
ii.kabila gan na alikuwa mkaz wa wap
iii.alikwambia alikutana wap na baba yako
iv.marafik wa mama yako ambao baba yako anaeza kuwa anawafaham
v.mama alikuwa na mwonekano gan na haiba gani
taarifa za baba pia angalau weka
i.kabila lake
ii.mama kakwambia baba alipendelea maeneo gan hapa tz
iii.baba alikuwa anajishughulisha na kaz gan
iv.alikwambia baba anaonekana vp
v.taja angalau rafk yyte wa baba ambaye mama alikwambia iki kama baba hayupo angalau rafiki akupeleke ukaone kaburi na ufaham ndguzo
vi.waliishi wap na je mama aliwah kukwambia kwann baba aliondoka!!!
mungu akutangulie katika juhudi zako za kutafta ndguzo
Hebu nipe jina nijaribu..na mlikuwa mwaishi wapi na miaka ipi?nakuombea umpate jamani..mi mwenyewe nlihangaika nkaeka na bandiko humu.nkaenda hadi fb na insta but nliambulia kujua asili ya surname yake ni uchagani huko.wengi hawamjui.ila ntaendelea
Inauma [emoji17] [emoji17] [emoji17] Maisha bila wazazi ,kwa age yetu ambayo tunaitaji mawazo yao,kuendelezwa kielimu ila me bibi angu aliniambia soma atakutafuta mwenyew[emoji4] [emoji4] [emoji4] tutafika mungu huWa achelewiJapo nimelelewa na wazazi wote na mpaka sasa wapo na mm nina familia, nmesoma comment yako machozi yamenitoka, pole sana mkuu
Inaeezekana mkuu c unajua duniani n sehem ya maajab
Lipson ngwepe
@seselela
Lipson ngwepe
@seselela
Joined April 2013
Tweets
- Tweets
- Tweets & replies
Duhh... hawa kina seselela inaoneka wako south huko. Uskute dingi yako alizamia huko akazaa tena huko. au katokea huko.
Lipson ngwepe @seselela 4 Jun 2015
Mojanji
0 replies1 retweet7 likes
Pole sana. Unajua ulizaliwa wapi? Kama ndio, je ulikulia hapo hapo ulikozaliwa? Kujua eneo ulikozaliwa ni muhimu kwani kuna uwezekano ndio eneo huyo baba yako alikuiwa anaishi.Sio mim tu hata mama angu mkubwa wakat anakuja kunichukua na kunilea yey mwenyew alikuwa aelewi chochote ila alikuwa anampa msaada mdogo wake wake ambaye n marehem.. kwa alikuwa anaendeleza aliponikuta na historia ya nyuma kuhusu mahusiano ya mama angu yey hana.. Mama mkubwa alikuwa dar na shughuli zake wakat mama anafariki na mama alikuwa mby.. kwa hyo si unaona huo umbal hapo kat kat ndio kipimo cha maisha yao wakat mama ni mzima
Hata mimi nikiwaza hilo. Mazimbu Morogoro waliachwa watoto wengi na siyo Mazimbu tu tuseme Mkoa wa Moro kwa ujumla hasa pale mjini. Huyo kijana kama ametokea maeneo hayo basi anaweza kuanzia hapo.Pale Kongwa na Morogoro zilipowekwa kambi za Wapigania Uhuru wa South Africa, kuna watoto wengi sana Waliachwa (waliozaliwa na Wenyeji na Hawa wasouth) hivyo kukuta Jina la Kizulu maeneo hayo Usishangae na labda huyo SESELELA ni mmojawapo (nimetumia labda).
Wacha uongo wako huyo anaitwa Sechelela Kongola!Mwambie ainzie kwa saselela kongole wa TBC1 wenda akawa ndugu yake. Pole zake bora wakwangu alikufa.
Asant sana mkuu.. nmezoea lakin hata kama kuna som of tyms kuna mambo yanatokea unakuwa una wahtaj bac unatulia tu kiumee na mambo yanaenda kibishToo sorry ,i can feel , the way it tests to live without any bloodly related person..may God easier your wish
Jibu hilo swali la wadau hapo kwamba ulizaliwa Morogoro? Ili tuhitimishe kwamba wewe utakuwa mtoto wa mpigania uhuru wa South Africa.24 sahiv, sifaham kabisa asili yake n wap..
Polee sana mkuu lakin mungu yupo na watu wake na anamakusud na kla kinachotokea dunian kikubwa n kuendelea kumuamin tuDhaaa ebhana tunafanana story yan mpaka now me cjui kosa la me.nilikua naogopa kumuuliza mother may be ningemtia machungu.sasA nae ndo ivo mungu kampenda now nipo home ata sijui nianzie wapi[emoji19] [emoji19] [emoji19] dhaa adi nimeshindwa kwenda chuo story yako imenitonesha bro[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] mungu akusaidie2 mungu wetu sote[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yan dadaa diva hyo cjui itakua mara ngapJaribu Ku google hilo jina
Aisee ww ni ndg yangu upande wa mama yako ..story nilizo wahi kusikia ni mzee wako hakuwa mtanzania ...muulizie mjomba Evance hapo simike mbeya ...babu yako si mzee Zakaria Mangazini ?? Asili ya akina babu ni milepa huko mtowisa ...au muulizie mama yako mkubwa Leocadia zakaria mangazini yupo maeneo ya ubungo kibangu dar...najua anamjua huyo baba yako na asili yake ni wapi ...pole sana mdogo wanguMama alikuwa anaitwa marietha zacharia na alikuwa ni mfipa.. kuhusu upande wa baba sifaham chochot