Namtafuta baba yangu na ukoo wake


Sasa angekuwa na majibu ya maswali yako unafikiri angeomba support. Umepewa single entry ni jukumu lako kutengeneza trial balance kwanza kabla ya kutoa final acc.
Kama unamsaada msaidie mwenzio.
 
Pole ndugu....umeonesha nia kutafuta na kujua CHIMBUKO LAKO......Naomba wana JF kwa pamoja tukupe USHIRIKIANO wa kutosha.


Ni wachache wenye ujasiri kama wako. Nikiwa naamini pengine ni 30℅ ya watoto hukimbiwa na wazazi (Baba) wao.
Asant sana mkuu.. na mim shida yang kubwa nataka nijue kulikuwa na ktu gan na nielewe mim n na ni,, asili yang ni hipi mkuu..
 
Sasa angekuwa na majibu ya maswali yako unafikiri angeomba support. Umepewa single entry ni jukumu lako kutengeneza trial balance kwanza kabla ya kutoa final acc.
Kama unamsaada msaidie mwenzio.
nitatengeza vp trial balance kama details kibao sina.mf areas incomes,expenses!advance payments na receipts ndio mana unapewa addtional informations na yy angetakiwa kupata hizo additional information kwa ndguze!..ukiona trial balance haiitaj additional information bhas jua hyo single entry ni ya kitoto,ndgu tatzo lake kubwa so trial balance yake lazma atupe addtional info

NB:hakuna haja kubishana na kuonesha kuwa unaelimu gani ila dhumuni ni kumsaidia ndgu apate ndguze
 
Too sorry ,i can feel , the way it tests to live without any bloodly related person..may God easier your wish
 
Ongeza ongeza nyama mkuu kwa mf. Baba/huo ukoo ni wenyeji wa wapi, mara ya mwisho wewe kusikia walikuwa mkoa gani??
[emoji2] [emoji2] nyama zakuongeza sina mkuu.. sijawahi kusikia chochote kuhusu wao.. maisha yang yote nimekulia ukoo wa mama yang
 
Dhaaa ebhana tunafanana story yan mpaka now me cjui kosa la me.nilikua naogopa kumuuliza mother may be ningemtia machungu.sasA nae ndo ivo mungu kampenda now nipo home ata sijui nianzie wapi[emoji19] [emoji19] [emoji19] dhaa adi nimeshindwa kwenda chuo story yako imenitonesha bro[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17] mungu akusaidie2 mungu wetu sote[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 



Pale Kongwa na Morogoro zilipowekwa kambi za Wapigania Uhuru wa South Africa, kuna watoto wengi sana Waliachwa (waliozaliwa na Wenyeji na Hawa wasouth) hivyo kukuta Jina la Kizulu maeneo hayo Usishangae na labda huyo SESELELA ni mmojawapo (nimetumia labda).
 
Sasa angekuwa na majibu ya maswali yako unafikiri angeomba support. Umepewa single entry ni jukumu lako kutengeneza trial balance kwanza kabla ya kutoa final acc.
Kama unamsaada msaidie mwenzio.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
We jamaa umekuwa addicted na book keeping
Nimeupenda mtiririko wako mkuu
 
kuna wadau wanaulizia asili ya mama yako, nayo hujui? inawezekana hujui kwa sababu ambazo pia sisi hatujui, hata hapo ulipokulia nao hawajui hata ukoo wa mama? nia yetu ni wewe upate msaada unaohitaji, ndo maana unaona kila mmoja ameguswa na uzi wako! hebu funguka kdg basi kwa unachofahamu kuhusu mama make umeshasema kuhusu baba hujui lolote zaidi ya jina, ingawa pia hata hilo jina utakuwa umesikia kama si kwa aliyekulea basi mama, that means walau ulikuwa na uelewa flani wakati wa uhai wa mama
 
Pole Sana mdogo wangu nimeguswa mno,nakuombea kwa mola akuunganishe na baba ako ama ndg wa upande wa babako jipe moyo mkuu!
 
Pole sana kamanda I hope utafanikiwa kumpata mzee wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…