The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,129
- 117,957
Bahati mbaya picha ya mama sina kuhusu ushauri wako naufanyia kazi🙏Kila ka kheri Pendo.
Funga safar . Uende Kahama.
Hata kwa siku 2.
Maana Kahama ndio ina majibu ya maswali yako.
Nenda Kahama Uhindini.
Na anzia serikali ya mitaa. Waambie story yako ila pia waombe wakupe /wakuonganishe na mwenyeji ambaye yuko Uhindini toka miaka 1990's.
Pili mwenyeji umuhoji akuonyeshe nyumba zote ambazo zilikuwepo miaka hiyo.
Pita door to door, kuulizia kama wanamkumbuka kuwa na mfanyakaz wa ndan aitwae Khadija Omary ambaye pia alipata Mimba na kujifungulia hapo hapo kwao.
NB; kama unaweza waombe serikali ya mitaa wakupe barua ya kukutambukisha na kutambua unatafuta nn kwenye Mtaa wao wa Uhindini. Ili usaidiwe na yoyote bila kuhisi utapeli.
Pili, Anza kupeleleza Ukoo wa KALILO ni kabila gan.
Je Pierina Vicka . Una picha ya Mama yako?.
🤣🤣Mkuu usihuzunike hata humu JF kuna wenzetu hawana akina baba,ona mtu kama Lucas Mwashambwa baba yake alimezwa na chatu porini wakati MAMA yake lucas ana mimba ya Lucas
Kitendo cha mzee mwashambwa kumezwa na chatu kimemuathiri mno mtoto wake ambaye ndio huyu lucas mwenye matendo ya kiuwendawazimu humu JF
Boss alikuwa Mhindi au ngozi nyeusi?Sipajui kuna nyumba nyingi pale at least ningejua jina la boss wake mama
Mungu akufanyie wepesi juu ya jambo linalo kutatiza.Bahati mbaya picha ya mama sina kinachoniuma zaidi siikumbuki sura yake vzr lakini alikua ni hodari sana wa kupiga picha alikua na album kubwa na ilikua ina picha nyingi sana nikiwa na miaka 9-10 nilimshudia bibi akiichoma ile ALBUM💔😪😭😭 nilivyokua mkubwa nikamuuliza kwanini alichoma picha za mama yangu alisema nimsamehe kwani alikua akiziona hizo picha zinamtia machungu yaan eti akiziona anamkumbuka mwanae kiukweli hua naumia sana kutokua na picha hata moja ya mama yangu💔😪 nilimuuliza kwanini ulichoma wakati mimi nipo na humfaham baba yangu hizo picha zingenirahisishia mimi ktk kumtafuta hana majibu kiukweli hilo nalo hua linaniumiza sana kuna wakati hua nahis labda anajua maana kahama alienda kipindi nimezaliwa inaamaana kama kama angetaka kufatilia ingefatilia kipindi mama amefarik ningemjua baba kuna bibi yangu mwingine yupo dar nae alikua anapicha nyingi za mama nae nae mabomu ya gongo la mboto ya 2011 yalimfika kwenye nyumba yake hivyo vitu vyote viliharibika na kupotea hivyo sinaga picha ya mama yangu.. Nitajaribu kwenda Kahama kuulizia labda naweza kufanikiwa pia nahis labda jina sio lake maana nimepost sehemu nyingi sana bila mafanikio😪
Ndio mimi sipo Tanzania hivyo kama unamaelezo ya uhakika mwambie au njoo PmNamba mbona kapokea mwanaume
Amen 🙏Mungu akufanyie wepesi juu ya jambo linalo kutatiza.
AmenMungu akufanyie wepesi juu ya jambo linalo kutatiza.
Aisee najiona mimi kabisa miaka ijayo huko mbele,nimeenda mkoa X nimekutana na kibint cha 2000
Tukapima wote tupo clean,nikamwambia mapema sipo tayar kuzaa kwasasa,nilijua sio mkaaji huo mkoa
Kumbe mwenzangu anataka mtoto nami sijui,mwisho wa siku ikawa imo
Na mwenyewe anasema huyo ni binti yake na hata jina kamuandika la kwao
Ingawa alikuwa ana mambo mengi,pamoja na kupima nae lakini bado alikuwa mwingi wa mambo
Ikanibidi kupima tena,maana best yake alipenyezea za chini kuwa hajatulia,kwahiyo hata mtoto nikahisi huenda sip wangu
Ila nikaona siku moja picha yake whatsapp , anafanana na mimi,hata nikamuonyeshq mfanyakazi mwenzangu kutaka maoni yake akasema mzee hili chata lako
Na mwamba mmoja nae mkoa huo huo akasema hapa huruki
Sasa shida itampata huyo binti baadae akija kujitambua,namba ya huyo binti ninayo,siku za awali alikuwa anaomba msaada mdogo mdogo tena mara chache sana,nilimsaidiaga ila baadae nikawa nakuasha lengo nisiweke ukaribu nae tena,huwa naona tu status zake
Sometimes nawaza nimblock tu ingawa hanisumbui kwa lolote now
Namuona binti atakaye kuja kumtafuta Silent King baadae huko,so sa
Sina hakika Lakin nafkiri ni Muhindi mweusi pia sijui kwa kipindi hicho watu walikua waina gani maeneo hayo maana ni Uhindini si mbali sana na soko kuu maana mwaka 2017 niliwahi kumuomba mama yangu mdogo huyo Eliza anipeleke nikaulizie maana boss alipokuja kumchukua bibi kipindi nimezaliwa waliongozana nae pia sasa 2017 nikamuomba twende kahama uhindini anipeleke kama anaikumbuka nyumba bwana tulifika mazingira hayo akasema nyumba haikumbuki maana kumechangamka sana nitamuuliza kuhusu boss alikuwa raia mwenye asili ya wapi kama anakumbuka ataniambiaBoss alikuwa Mhindi au ngozi nyeusi?
Hongera 👏Aisee najiona mimi kabisa miaka ijayo huko mbele,nimeenda mkoa X nimekutana na kibint cha 2000
Tukapima wote tupo clean,nikamwambia mapema sipo tayar kuzaa kwasasa,nilijua sio mkaaji huo mkoa
Kumbe mwenzangu anataka mtoto nami sijui,mwisho wa siku ikawa imo
Na mwenyewe anasema huyo ni binti yake na hata jina kamuandika la kwao
Ingawa alikuwa ana mambo mengi,pamoja na kupima nae lakini bado alikuwa mwingi wa mambo
Ikanibidi kupima tena,maana best yake alipenyezea za chini kuwa hajatulia,kwahiyo hata mtoto nikahisi huenda sip wangu
Ila nikaona siku moja picha yake whatsapp , anafanana na mimi,hata nikamuonyeshq mfanyakazi mwenzangu kutaka maoni yake akasema mzee hili chata lako
Na mwamba mmoja nae mkoa huo huo akasema hapa huruki
Sasa shida itampata huyo binti baadae akija kujitambua,namba ya huyo binti ninayo,siku za awali alikuwa anaomba msaada mdogo mdogo tena mara chache sana,nilimsaidiaga ila baadae nikawa nakuasha lengo nisiweke ukaribu nae tena,huwa naona tu status zake
Sometimes nawaza nimblock tu ingawa hanisumbui kwa lolote now
Namuona binti atakaye kuja kumtafuta Silent King baadae huko,so sad
Seran 🤣🤣Mkuu usihuzunike hata humu JF kuna wenzetu hawana akina baba,ona mtu kama Lucas Mwashambwa baba yake alimezwa na chatu porini wakati MAMA yake lucas ana mimba ya Lucas
Umeiona comment yangu????Hongera 👏
Niambie jamaniKuna kina kalilo nawafamu nijibu maswali yangu hapa hapa then nitakupa namba hapa kama uko tayari niambie
Umeiona comment yangu?
Ndio niko tayari mpendwaKuna kina kalilo nawafamu nijibu maswali yangu hapa hapa then nitakupa namba hapa kama uko tayari niambie
Nitajie majina kamili ya baba yako?Niambie jamani