namtafuta Arabela


Sijaoa
Sina mtoto
Tigo situmii
Nitaiependa familia ya ukweni kuanzia wewe shemeg SLAVE na wengine wote
 
Last edited by a moderator:
nitonye.. wewe nitonye wewe.. Uko wapi hebu ukuje huku fasta uone wanavyomkuwadia Arabela wako.. Najua nguvu nyingi umetumia na sasa umefanikiwa.. wanakuja wabaya wakiongozwa na Kaizer..
 
Last edited by a moderator:
kumbe! Mbn uliwahi hivyo? Mipango yetu vipi?

nilikuwa Mafia, mwezi ukaandama Shaaban. Hakuna kilichoharibika, mpango wetu umefikia hatua za utekelezaji. Ukimaliza sita nishtue!
 
unamtaka huyo? nitonye je?

mie siwezi kukuchagulia cha msingi awe na hesima,mpole mwenye kujua maana ya mke pia pumziko akupe kadri ya upendavyo. Sitaki ukawa omba omba wa raha nitonye akawe kila anapo taka kukupa raha mpaka ajibusti na kiloba cha zedy.
 
Last edited by a moderator:
mie siwezi kukuchagulia cha msingi awe na hesima,mpole mwenye kujua maana ya mke pia pumziko akupe kadri ya upendavyo. Sitaki ukawa omba omba wa raha nitonye akawe kila anapo taka kukupa raha mpaka ajibusti na kiloba cha zedy.

sawa kaka ngoja aje nitonye ajibu kama anaweza yote haya
 
Last edited by a moderator:
ahsante sana karibu na wewe. Labda mganga kamwambia asiongee kwa muda wa siku 7

Ha ha ha.. Masharti magumu ila jinsi anavyokupenda huyo nitonye yuko tayari hata kuoga hadharani..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…