Namtafuta Abdul Ahmad (Tosh)

NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,958
2,951
Nakitafuta mwenye jina tajwa hapo juu mimi ni shangazi yako nipo Dodoma.Nimejua jana.kuwa
Marehemu kaka Tosh aliyekuwa akiishi Msasani aliwahi kuzaa mtoto na mwanamama mwenyeji wa mkoa wa Mara
na mtoto huyo aliitwa ABDUL na alitoroshwa na mama yake.Tafadhali upatapo taarifa hii tuwasiliane
 
Yaani unapeleka na taarifa za msiba. Ni vyema ungetumia lugha nyingine. Huenda muhusika anaamini baba yake yupo hai.
 
Nakitafuta mwenye jina tajwa hapo juu mimi ni shangazi yako nipo Dodoma.Nimejua jana.kuwa
Marehemu kaka Tosh aliyekuwa akiishi Msasani aliwahi kuzaa mtoto na mwanamama mwenyeji wa mkoa wa Mara
na mtoto huyo aliitwa ABDUL na alitoroshwa na mama yake.Tafadhali upatapo taarifa hii tuwasiliane
Hata hivyo muwasiliane vip ikiwa hujamuwekea mawasiliano?
 
Jina na huyo mama mtoto pia ungeweka,na mara anatokea sehemu gani!,kama amemtorosha kuna uwezekano mkubwa amembadirisha jina kutoka Abdul kwenda Nyanduga..
mkuu ninafahamu kwa ufupi sana kuwa baba yake jina maarufu ni Tosh na mtoto aliitwa Abdul zamani waliishi Kinondoni mtaa wa Dunga na baadae msasani kwa Juma Magari mabovu.
 
Jf ina wasomaji wengi sana,huenda Abdul au mama yake wameuona uzi huu na kukutafuta,kila la kher mkuu..
 
Mashangazi kwa uchawi hamjambo
What is this.
You mean shangazi zako wote ni wachawi. Kama ndio ivo ujue na mzazi wako naye ni shangazi wa wengine so naye atakuwa kama ulivyo ongea.

Acha ujinga. Mtu analeta issue serious ya kutafuta familia ya kaka yake wewe unaingiza emo uzanfiki wako
 
Mbona povu mkuu punguza hasira wachawi wengi mnakuwa na hasira sana kwa nini?.utani ni kitu cha kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom