Mndeme au mndolwa....usipomaliza watu watajuaje sasa..eeeh? Mods kuna haja ya kuanzisha forum ya 'Lost n Found" kama alivyosuggest mwanaJF kwenye thread flani...its important kwa kweli!

Sio ustaarabu kuanza kutaja watu huku mtandaoni ndugu. Ni kweli uko desperate hivyo kumuona huyo rafiki yako? Unataka tu kujua yuko wapi anafanya nini, ama una kitu cha ziada? Manake hata tunaomdai sasa tutaanza kujua details shighatini.