Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

Namtabiria Liberatus Sabas nafasi ya IGP

Daah mkuu nimekosea bana
Ni SIAMON SIRO

Kamanda Siro keshapewa kanda maalum ya Dar es salam anasubiria Kova aagwe tu , kuna mabadiliko yanakuja lakini Tatizo ni bajeti ya kuwahamisha kwenda sehemu mbalimbali .
 
Wadau.

Nachukua fursa hii kumtabiria mema kamanda wa polisi mkoani Arusha SACP Sabas.

Arusha imetulia,uchaguzi wa Arusha mjini ulikwenda vyema.

Kwa mara ya kwanza Godbles Lema amelipongeza jeshi la polisi Arusha lilivyoshiriki ktk uchaguzi.

Sabas ni hazina ya Polisi.

me nampendekeza sady mrope. ni kijana msomi asiyeegemea upande wowote.
 
Kamanda Siro keshapewa kanda maalum ya Dar es salam anasubiria Kova aagwe tu , kuna mabadiliko yanakuja lakini Tatizo ni bajeti ya kuwahamisha kwenda sehemu mbalimbali .

Kama ni kweli DAR ES SALAAM IMEPATA JEMBE

HUYU NI KAMANDA NNAE TAMANI HATA NIMSHIKE TU hata mkono wake

Lakin wengine wanajichanganya mara kama makatibu wenezi mara kama wakuu wa nchi mara kam askari

POPOTE ULIPO SIRO

MZEE MCHOPU NAKUKARIBISHA MJINI

DSM

MWANZA ULIKUA MTU MUHIMU SANA na katika kipindi chako hakukua na matukio ya uvunjifu wa amani

Na ulilifanya jeshi la polisi kua ni RAFIKI KWA RAIA

NA SI ADUI KWA RAIA
 
Nadhai kamaanisha Kamanda Siro enzi hizo 2010 huko Jijini Mwanza
 
da bora mangu na usanii wao wa kutufungia vituo kisa eti wanaogopa kuvamiwa....... mimi huwa najiuliza kama polisi wanafunga vituo kwa kuogopa kuvamiwa......je sisi tusiona silaha tutafanyaje?.......hebu magufuli fukuza haraka hawa viongozi wakuu wa polisi tupate ukinzi hukumitaani.......maana ulinzi ni hakiyetu
 
Hilo la kuweka vikwazo kuingia vituo vya polis Kwa kweli ni Tatizo kubwa sana na Kama ni mtizamo wa Mangu inabidi alitizame upya , lakini najua Mangu na Magufuli ni Marafiki wakubwa kumng'oa itakuwa vigumu sana
 
Back
Top Bottom