Namshukuru mungu

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
Jamani nilifanya mtihani necta wa ualimu ngazi ya stashahada may 2011 nimeufaulu vizuri! sifa na utukufu vina yeye milele na milele AMINA
 
hongera sana mpendwa kwa kufaulu mtihani wako na kwa kukumbuka kumrudishia Mungu sifa, heshima na shukrani

Mungu akutangulie katika maisha yako na mipango yako.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God
 
Stashahada ndiyo nini? Diploma, cheti, darasa la saba, form 4? Ni nini hasa?
 
Stashahada ndiyo nini? Diploma, cheti, darasa la saba, form 4? Ni nini hasa?
<br />
<br />
kumbe sikukosea kukwambia viingereza vyako vigumu ni vya english course. sometimes uwe na busara hata km una digrii arobaini km motto wa jf unavyofahamika,great thinkers. kub....ako! mods piga ban hili jitu!
 
Stashahada=diploma,hongera mkuu,tunapaswa kumshukuru MUNGU kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom