Kwa Mungu wa taifa langu

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Sifa na utukufu vina yeye tu, muumbaji wa mbingu na dunia yeye aketi-ye mahali pa-juu sana.

Dunia inaelea katika anga, kwa sababu ya nguvu zake Mungu.

Yeye alie na mwanzo na asie na mwisho.

Yeye anae unganisha tone la manii na yai la mwanamke mtoto anapatikana.

Sifa Zina yeye Mungu ashie kwa nafsi yake mwenyewe.
 
Mungu wa taifa lako ni yupi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom