Namshukuru Mungu....


Yaani when it comes to praises I sing alot yaani sijui nisemeje. Na huu wimbo nashukuru umeutoa hapa hata nikausikiliza maana ni moja kati ya nyimbo zilizonijengea kuwa na pumzi wakati wa kuimba na kuwa na vocal.

Asante kwa maneno mujarabu, hakika uliyosema ni kweli kabisa.

Stay well and be blessed.
 
Eeh jamani, nimekuchoshaje tena!!!??
Mim najitahid soma nielewe unachokitaka kutujuza af...umebaki nacho moyon kwako...

Zaid ya kusema hata wazungu wanachawiana may b na kuonesha furaha yako juu promotion

Au ndicho ulikusudia kutujuza...?

Mana siona mana yyote ya hii thread...
 
Stay blessed Kasie. Stay blessed. You have a big heart. Don't let them pull you down.

Do good and walk away for a reason.
 
Hahahahahaha really....?I! !!

Then you two have something in common....

Am figuring it out.... trying.
Hahaha happiness comes from within, if your heart is happy, then the flow of blood is within Gods band width.
 
Hahaha happiness comes from within, if your heart is happy, then the flow of blood is within Gods band width.

Thanks for the smile..........

Am so curious. .......

Kasie mie looh.
 
Hakika ni jambo la kumshukuru Bwana kwa kila jema alitendalo katika maisha yetu hii ni kuonyesha kwamba yeye ni Mungu wa haki na aonaye sirini na vilevile anakusudi na maisha yetu katika kila jambo analolifanya hivyo basi hatuna budi kumshukuru katika hali zote na tusisahau pia kutimiza nadhiri tunazoweka maana Mungu anapenda walio waaminifu .Soma (zaburi 116:12-19) hakika bwana atazidi kukubariki kama alivyosema katika
(torati 28 yote.)Ubarikiwe mtangaze kristo na matendo yake siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…