ngwenda ngulya
Member
- Jun 6, 2012
- 44
- 33
Ngoja nimjibie: siri kubwa ya mafanikio katika ndoa ni masikilizano, kusamehena, kufarijiana, kuwa pamoja katika shida na raha, pia kila mmoja kuwa tayari ku drop na kugain kutoka kwa mwenzieHongera sana mkuu.....
Sie ndo kwanza tuwaza tuoe yupi bado.....
Pamoja na kukupa hongera nini siri ya mafanikio yako?
Ngoja nimjibie: siri kubwa ya mafanikio katika ndoa ni masikilizano, kusamehena, kufarijiana, kuwa pamoja katika shida na raha, pia kila mmoja kuwa tayari ku drop na kugain kutoka kwa mwenzie
AminaPamoja na kuchanganya democrasia na udictator kulingana na mazingira. Upendo ndio nguzo kuu.
Aiseeeemmmh congratulations I think I should learn from people like you instead of months aged marriage victims.
Mnashikana mikono mbele za watu miaka 50 , ya ndoa , mkirudi ndani mnalia , ndoa haina amani .... BY JAYDEE