rais anawapenda mno wamachinga na wafanyabiashara wadogo ndio maana amewaletea hivyo vitambulisho bure ili wasisumbuliwe na mgambo
vitambulisho ni sawa wapewe... watambulike....
Duh!amewaletea bure!?wapi wamepewa (bure).kweli mmepoteanarais anawapenda mno wamachinga na wafanyabiashara wadogo ndio maana amewaletea hivyo vitambulisho bure ili wasisumbuliwe na mgambo
Huenda aliwaza vizuri lakini utekelezaji wake imekuwa ni karaha kwa wafanya biashara wadogo. Watendaji wa serikali wanatumia nguvu kubwa sana kukazimisha watu kununua vitambulisho hivyo. Sehemu nyingine watumishi wametishiwa hadi kufukuzwa kazi wasipofanikiwa kuuza vitambulisho hivyo.
Hapa ilipaswa kujuliuliza kwanini vitambulisho hivyo havinunuliwi? Jibu ni fupi tu wafanyabiashara wengi wana mitaji midogo sana hivyo kwa lugha nyingine wao ni masikini kabisa. Sasa kwenda kuchukua 20,000/= kwa masikini kwa kisingizio cha kitambulisho hiyo ni sawa uuaji. Ukiangalia baadhi ya wafanyabiashara wanaolazimishwa kununua vitambulisho hivyo mitaji yao ni chini ya 20,000/= halafu analazimishwa kununua kitambulisho cha 20,000/= ambayo hana. Hivi shoe shiner na muuza karanga kwa mfano mitaji yao ni shilingi ngapi hadi walazimishwe kununua kitambulisho?
Kwakuwa hili lilikuwa ni wazo binafsi la rais kama alivyoeleza yeye mwenyewe na kwakuwa ni yeye ndiye aliyevitengeneza na kwakuwa ni yeye ndiye aliyepanga bei namshauri avifute kabisa vitambulisho hivyo kwani vina mshushia hadhi sana miongoni mwa wafanyabiashara wadogo masikini na wananchi kwa ujumla. Vinginevyo ili kuwasaidia ni bora avitoe bure. Ikumbukwe madhara yoyoyte watakayopata wamachinga, watumishi na wananchi kwa ujumla lawama zote zitaelekezwa kwake rais kwakuwa yeye ndiye mwenye vitambulisho hivyo.
Ni vizuri rais ajue kuwa watendaji wake wanafanya kazi kwa nidhamu ya woga sana na kujipendekeza ili kumfurahisha yeye hivyo wanaoumia ni wananchi kutokana na hatua wanazochukua dhidi ya wananchi. Ni watendaji wasioweza kutoa ushauri pale wanapoona mambo magumu zaidi ya kutumia nguvu ili kila mmoja aonekane anaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani ni kwa ajili ya wenye Mitaji at lst laki 5 hivi kumbe kwa Mama muuza mboga za 5000 apate faidi 3000![emoji26][emoji26][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Huu ni utapelii mkubwa..Well said,mama mkaanga mihogo ambae mtaji wake ni elfu ishirini unamwambia anunue kitambulisho?Vitambulisho ni unyonyaji kabisa.
Kwa hiyo ni mapato nje ya mfumo wa TRA, CAG anakazi kubwaAmeshafeli tayari. Issue ya kodi ni ya kisheria ambako TRA ndio wahusika. Sasa hili zoezi la kodi lakini wahusika ni ikulu na wakuu wa mikoa na wilaya. Kiujumla jiwe kafeli tena kama kwny korosho
Ushauri wako ni mzuri sana mkuu.Wananchi wa kawaida niliopata nafasi ya kuongea nao hawapendi kabisa wazo hili.Wengi wanaona ni njia tu ya serikali kujitafutia mapato bila,kujali hali yao ya maisha.Wengi wao wanasema kula yao tu ni shida,sembuse kupata Sh.20,000?Mmoja akaniambia,Huenda aliwaza vizuri lakini utekelezaji wake imekuwa ni karaha kwa wafanya biashara wadogo. Watendaji wa serikali wanatumia nguvu kubwa sana kukazimisha watu kununua vitambulisho hivyo. Sehemu nyingine watumishi wametishiwa hadi kufukuzwa kazi wasipofanikiwa kuuza vitambulisho hivyo.
Hapa ilipaswa kujuliuliza kwanini vitambulisho hivyo havinunuliwi? Jibu ni fupi tu wafanyabiashara wengi wana mitaji midogo sana hivyo kwa lugha nyingine wao ni masikini kabisa. Sasa kwenda kuchukua 20,000/= kwa masikini kwa kisingizio cha kitambulisho hiyo ni sawa uuaji. Ukiangalia baadhi ya wafanyabiashara wanaolazimishwa kununua vitambulisho hivyo mitaji yao ni chini ya 20,000/= halafu analazimishwa kununua kitambulisho cha 20,000/= ambayo hana. Hivi shoe shiner na muuza karanga kwa mfano mitaji yao ni shilingi ngapi hadi walazimishwe kununua kitambulisho?
Kwakuwa hili lilikuwa ni wazo binafsi la rais kama alivyoeleza yeye mwenyewe na kwakuwa ni yeye ndiye aliyevitengeneza na kwakuwa ni yeye ndiye aliyepanga bei namshauri avifute kabisa vitambulisho hivyo kwani vina mshushia hadhi sana miongoni mwa wafanyabiashara wadogo masikini na wananchi kwa ujumla. Vinginevyo ili kuwasaidia ni bora avitoe bure. Ikumbukwe madhara yoyoyte watakayopata wamachinga, watumishi na wananchi kwa ujumla lawama zote zitaelekezwa kwake rais kwakuwa yeye ndiye mwenye vitambulisho hivyo.
Ni vizuri rais ajue kuwa watendaji wake wanafanya kazi kwa nidhamu ya woga sana na kujipendekeza ili kumfurahisha yeye hivyo wanaoumia ni wananchi kutokana na hatua wanazochukua dhidi ya wananchi. Ni watendaji wasioweza kutoa ushauri pale wanapoona mambo magumu zaidi ya kutumia nguvu ili kila mmoja aonekane anaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa RC wa Ruvuma hata hawa wanapaswa kununua kitambulisho hichoHuenda aliwaza vizuri lakini utekelezaji wake imekuwa ni karaha kwa wafanya biashara wadogo. Watendaji wa serikali wanatumia nguvu kubwa sana kukazimisha watu kununua vitambulisho hivyo. Sehemu nyingine watumishi wametishiwa hadi kufukuzwa kazi wasipofanikiwa kuuza vitambulisho hivyo.