Ukirudi nyuma kwenye historia kipindi cha mwalimu Nyerere,watu walikuwa na fedha ndani na ilipokuwa inatangazwa kubadilisha fedha ilikuwa mshike mshike.Hivi mtu anaweza akakaa na mabilioni ndani?
nataka raisi apige marufuku matumizi ya dola kwenye nchi yetu.Na atakaye kiuka haya akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kuihujumu nchi.
nataka raisi apige marufuku matumizi ya dola kwenye nchi yetu.Na atakaye kiuka haya akamatwe na kufunguliwa mashtaka kwa kuihujumu nchi.
JT2014
great Idea, iendane na devaluation au kuondoa sifuri moja kwenye fedha yetu.pia iambatane na BAN ya Mauzo yote ya nyumba,viwanja au mali zisizohamishika kwa cash.biashara ha kununua shamba kwa million 20 ufe.ili transfer iwe legal,lazy iambatane na bank slip. Ukijumlisha na ubadilishaji wa fedha Ndani ya wiki moja,mabazazi wanaptutia umaskini watakuwa na Wakati mgumu Sana.
Benard Membe ana handaki kubwa nyumbani kwake amehifadhi Mabilion ya dola za marehemu Gadafi huku zingine akiwa kazificha kwa Jack Gotham rafiki yake mkubwa mmiliki wa Tenda ya vitambulisho vya Taifa, hata Nape, mwigulu na January Makamba , kinana, mangula, Rajab luhavi na wajanja wa CCM waliopiga pesa za kampeni toka China wamezificha ndani Aridhini, wengine wajanja zaidi wamenunua majumba Ulaya, Dubai, South Africa na kufungua biashara kwa majina ya watu mbalimbali, .Ukirudi nyuma kwenye historia kipindi cha mwalimu Nyerere,watu walikuwa na fedha ndani na ilipokuwa inatangazwa kubadilisha fedha ilikuwa mshike mshike.
Lakini wakati wa sakata la escrow utakumbuka ilitajwa kwamba kuna waliobeba fedha kwa viroba,unadhani walikuwa wanapeleka benki gani kama siyo majumbani na kuanza kuzitakatisha taratibu.
Hivyo inawezekani kuwa na mabilioni nyumbani.Inategemea una dhamira gani na mabilioni hayo au njia uliyoitumia kuyapata.
Wazo zuri sana. Hakika kuna mabilioni mengi yapo majumbani mwa watu. Si mnamkumbuka yule waziri wa Zambia alivyobambwa kafukia mahela nyumbani kwake, same apply in tz.
Kuna ukweli fulani. Muda uwe wiki moja. Nakumbuka wakati wa kubadilisha noti za 500,na 5,000 ilikuwa ni sarakasi tupu,maana noti za zamani unapeleka benki,lakini zilikuwa zinarudi kwenye mzunguko.
No, hii haina maana.... kwa uhakika kabisa, kwa Tz ya sasa, hakuna mtu anaweza weka tshs 500,000,000 nyumbani... Hata kama yupo say 1 au 2, huwezi badili FEDHA ya nchi sbb ya watu 2 au 3 hata kama wapo... !!
Kuna njia nyingi za kudhibiti hizo fedha zisizagae mikononi mwa watu... Moja wapo ni FEDHA HARAMU ya Drugs... pili UKWEPAJI KODI MKUBWA... na tatu KUDHIBITI MFUMUKO wa bei, meaning fedha kuwa na VALUE... Grand CORRUPTION etc..
So, No, No... kubadili fedha, umefikiria kwa kifupi sana pua na mdomo..