Namshauri Dr. Ulimboka... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namshauri Dr. Ulimboka...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KML, Aug 15, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ingekua uwezo wangu ningemshauri jamaa agombee ubunge jimboni kwao uko mbeya maana kashajizolea umaarufu wa kutosha.. then anafaa sana kuleta mabadiliko nchini na mfano tumeuona..
  Sijui wewe unaonaje..
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  kwani lazima akagombee mbeya? kama makazi yake yapo Dar kwanini asigombee Dar?
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,792
  Likes Received: 3,879
  Trophy Points: 280
  is he a politician or a scientist? asije kuwa kama professor Peter Msolla aliyekuwa Mahiri pale SUA kama DVC lakini alipopewa uwaziri hakuna kitu alifanya!
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Deadly Miscalculations!...kusogea huko kwa mtu kama yeye ni kutafuta kujimaliza asap!
   
 5. M

  MTK JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Sio kila umaarufu unakuwezesha kuwa mwanasiasa mahiri; check out George Opong Weah wa Liberia! dr Ulli usikurupuke, tulia katika fani uliyonayo at least for now! you can achieve even more huko ulipo bila kuingia katika siasa za moja kwa moja; it is a dirty dirty world! borrow a leaf from Dr. Reggie Mengi's experience! kila zama na kitabu chake, vuta subira mwanakwetu.
   
 6. MALAMSSHA

  MALAMSSHA JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 446
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Let him listen to his heart. Let him do what pleases him so long as he is serving his people.

  But politics i advice him to think twice.
   
 7. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Apumzike baada ya matibabu, hayo mengine muda ukifika yataji solve.
   
 8. Magembe R. Malima

  Magembe R. Malima JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 233
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Jambo moja ambalo linanipa taabu ni mawazo yetu Watanzania kuwa uanasiasa ni kitu kikubwa na cha maana sana kuliko mambo mengine. Mtu akiwa mwandishi mahiri kabisa anadhani kazidiwa kitu fulani na mbunge. Mtu akiwa mwanasayansi wa kiwangu cha juu anadhani mbunge, waziri au rais ni wa maana sana kuliko yeye. Hili ni tatizo sana kwa sehemu nyingine za Afrika pia. Ndiyo maana si ajabu mtu akastaafu kwa heshima kutoka katika vyeo vya juu vya majeshi halafu akaanza kuhangaika na "tuvyeo twa ubunge"!!

  Ulimboka ni daktari suala la ubunge ni la nini na kuna ziada gani anaweza kuifanya kama mbunge mbali na mchango wake wa sasa?

  Tunapoteza muda mwingi kwenye porojo wakati mambo ya msingi hatuyafanyi ama yametushinda matokeo yake Bill Gates inabidi atusaidie habari za vyoo: Bill Gates invests in solar-powered toilet - Americas - Al Jazeera English

  Inasikitisha sana.
   
Loading...