Namshangaa prof. Lipumba, Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni

NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
672
231
Chadema na siasa za unafki na uzandiki. Pole
sana le professor Lipumba kwa kuwa akili yako
ni sawa na ya panzi. Ni mwaka tuu tangia chama chako kiitwe kinachoamini katika ushoga na Ezekiel wanje tena kwenye chombo chenye hadhi na kinachotazamwa na watanzania wote BUNGE.

Mlijifanya kuleta fujo na kodi za wananchi mkazila bure leo umedhiirisha kuwa nyie (chadema n
cuf) ni washiriki wa ndoa ya jinsia moja kitendo
chenu cha kuungana bila kufuta tofauti hizi
kunatuchanganya.

Nimnukuu wanje "CCM wao mrengo wao ni wa
KUSHOTO, CHADEMA wao mrengo wao ni wa KATI democratic, CUF ni MALIBERAL watu wanaoamini katika ushoga na usagaji" si maneno yangu angalia hapa.
 
Sasa mbona tunashindwa tuchangie nini? Kichwa cha habari kingine, habari ndani mchanganyiko.......Labda niambie wewe tuchangie nini?... siasa za Chadema za unafiki na uzandiki, au akili za Lipumba ambazo umedai ni kama za panzi au tuongelee ushoga wa Lipumba?
 
Chadema na siasa za unafki na uzandiki. Pole
sana le professor Lipumba kwa kuwa akili yako
ni sawa na ya panzi. Ni mwaka tuu tangia uitwe wewe ni shoga na
Ezekiel wanje tena kwenye chombo chenye hadhi
na kinachotazamwa na watanzania wote BUNGE. Mlijifanya kuleta fujo na kodi za wananchi mkazila
bure leo umedhiirisha kuwa nyie (chadema na
cuf) ni washiriki wa ndoa ya jinsia moja kitendo
chenu cha kuungana bila kufuta tofauti hizi
kunatuchanganya. Nimnukuu wanje "CCM wao mrengo wao ni wa

Wala hujui siasa ni nini?badala ya kushangaa ccm miaka 50 hakuna barabara ya dar kwenda mtwara lakini ges miezi 18 imeshafika dar kuelekea bagamoyo
 
acha uongo mkuu...ww ndo unajua siasa sio....mm c mwana ccm na wala sina chama chochote cha siasa ila ni mwanaharakati na mchambuzi wa mambo haya.....
 
Ni dhahiri thread yako umeonekana wazi kuumia kuliko kuumia wapinzani kuungana, hii ni rasha rasha tu mvua kamili 2015.
 
Huwa hawana utamaduni wa kujibu hoja hawa vidampa wa Mzee Slaa.
wana JF wenzangu, magreat thinkers mliotukuka naombeeni ruhusa nimebanwa kidogo. Nataka kwenda chooni kudumbukiza vitu vyenye ncha kali upande wa juu kutokea kwenye NDUKUM tubwlii! Namaanisha VIMA....halafu narudi kuchangia mada...Dengue ww!
 
Chadema na siasa za unafki na uzandiki. Pole
sana le professor Lipumba kwa kuwa akili yako
ni sawa na ya panzi. Ni mwaka tuu tangia uitwe wewe ni shoga na
Ezekiel wanje tena kwenye chombo chenye hadhi
na kinachotazamwa na watanzania wote BUNGE. Mlijifanya kuleta fujo na kodi za wananchi mkazila
bure leo umedhiirisha kuwa nyie (chadema na
cuf) ni washiriki wa ndoa ya jinsia moja kitendo
chenu cha kuungana bila kufuta tofauti hizi
kunatuchanganya. Nimnukuu wanje "CCM wao mrengo wao ni wa
KUSHOTO, CHADEMA wao mrengo wao ni wa KATI
democratic, CUF ni MALIBERAL watu wanaoamini
katika ushoga na usagaji" si maneno yangu
angalia hapa.

...mpigie simu umwambie hoja zako,usilete umbea jukwaani,sio kila mtu mmbea...
 
Hili dubwana limetoka kupumuliwa huko sasa stimu zimelizidi linakuja hapa kutafuta bwana naona waliolipunulia ni ma under ground so hawahalikuna sawasawa

BACK TANGANYIKA
 
Sasa mbona tunashindwa tuchangie nini? Kichwa cha habari kingine, habari ndani mchanganyiko.......Labda niambie wewe tuchangie nini?... siasa za Chadema za unafiki na uzandiki, au akili za Lipumba ambazo umedai ni kama za panzi au tuongelee ushoga wa Lipumba?
mkuu huyu hana maana yoyote hajui hata anachohitaji tumsaidie.Pengne ana chuki binafsi na Le profesor Lipumba na pia ajue wazi ktk siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu.Kama Chadema na Cuf wameungana si ni jambo jema tuwaunge mkono kuijenga democrasia?
 
Back
Top Bottom