Lkn umeona kwamba huyu ndugu ndiye aliyeweka mwanya wa haya ukisoma paragraph ya kwanza anasema "Kwa mfano kwa sababu mimi ndo mwenye ex tunayewasiliana bado,Mkuu hapa inabidi uwe ngangari na kupiga marufuku uhusiano uliopo kati ya mkeo na huyo jamaa na una sababu za kutosha za kufikia uamuzi huo. Hata mawasiliano ya simu usiruhusu, kwenda kazini kwa mkeo marufuku kwa kifupi wakate mawasiliano ya aina yoyote na wakati huo huo uendelee kufuatilia kwa karibu ili kuhakikisha maamuzi yako yanafuatwa. Kama hutajali rudi hapa kutufahamisha maamuzi yako na yatakayojiri siku za usoni. Kila la heri katika kunusuru ndoa yako.
Naunga unachosema ni kweli na inawezekana kabisa lakini kumbuka kuwa mtu akiamua kusaliti lazima kwanza ajue mapungufu yako ndipo aamue mbinu atakayo tumia ikiwa ni kuweka wazi sana ili iwe ngumu kushituka kama wewe usivyoamini kuwa ingewezekanaje wapenzi wakapeana vitu kwa uwazi kiasi hicho, lakini pia mapenzi yanaweza kuwa ya siri hata kugundua ikawa ngumu.Hiviiii, kungekuwa na uhusiano wa usiri jamaa angempa zawadi ya laptop best friend wake mbele ya mkewe? Si angekuwa more careful basi angedanganya kuwa alimuagiza (kwa kumpa pesa kabla)?
Halafu what is more romantic, zawadi ya laptop au mkufu?
Sioni mapungufu ya 'umume' wa PetCash kwa kuihandle issue the way alivyoihandle, ila ili apate tulizo he has to spell all his worries kwa mkewe na labda wadiscuss terms zingine ili awe na amani.
Uko sahihi kwa kiwango kikubwa; lakini he has to be smart about it, maana ushauri mwingi alioupewa akiubeba the way ulivyo anaweza bomoa badala ya kujenga. Benefit of doubt ni muhimu, natumaini analielewa hili; na hilo la kuzuia mahusiano kati ya mkewe na friend wake, yaweza bomoa maana ni kumlazimisha achoose betwee two unequal yet important people. Umuhimu wa mume hauwezi kuwa sawa na wa rafiki, na wa rafiki hauwezi kuwa sawa na mume; so he might loose completely au akasababisha uhusiano wao ukawa wa siri na baadaye kwenda another level ambayo mume anaweza akaipanda kwa kumuhisi. Imagine, akimtuhumu kuwa ni bwana wake, tayari anamuwekea wazo au image ya friend kuwa bwana (in bed and all that), na kero (nagging) zikizidi; badala ya mwanzo alivyokua say anapata ushauri tu sasa itaenda kwenye kukumbatia na mambo mengine. Kwa maoni yangu alivyoihandle issue pettycash ni vyema zaidi ya mke wa best wa mkwewe. Anyway, ni mtazamo wangu tu.Naunga unachosema ni kweli na inawezekana kabisa lakini kumbuka kuwa mtu akiamua kusaliti lazima kwanza ajue mapungufu yako ndipo aamue mbinu atakayo tumia ikiwa ni kuweka wazi sana ili iwe ngumu kushituka kama wewe usivyoamini kuwa ingewezekanaje wapenzi wakapeana vitu kwa uwazi kiasi hicho, lakini pia mapenzi yanaweza kuwa ya siri hata kugundua ikawa ngumu. Hata hivyo kumbuka mtu anaweza aka-pretend hata kwa miaka mitano bila kugundulika hasa mwanamke, kibaya zaidi hawa watu wana mwaka mmoja katika ndoa kipindi ambacho huwa ni kitamu sana na cha furaha mno lakini wao kasoro zimeanza tena mpaka kusababisha mtu kwenda ukweni, kweli unahisi hii ni hali ya kawaida????? Piga picha baada ya miaka mitano, kumi na kuendelea iatakuwaje. Huyu jamaa anatakiwa awe serious katika kushughulikia hili swala wakati ndoa ingali changa kabla haijaota mizizi kwani itakuwa ngumu kumbadilisha mkewe hapo badaye kuliko sasa, itakuja kuonekana kana kwamba yeye (mwanaume) ndiye aliyebadilika na kusababisha matatizo.
Ni kweli mpendwa, kwa ushauri wote aliopokea ni ngumu na haitafaa kuchukua mashauri yote tuliyotoa kama wadau bali atumie mashauri haya kama sehemu/chanzo cha kumfanya awe makini katika kupambanua na mwishowe afanye maamuzi yenye manufaa kwake binafsi, familiya yake na hata jamii inayomzunguka. Kwa nguvu za kibinadamu ni ngumu ila kwa Mungu muumba mbingu, nchi na vyote viijazavyo inawezekana, Mungu amfumbue macho na kumpatia hekima na maarifa ya kutatua hili jambo.Uko sahihi kwa kiwango kikubwa; lakini he has to be smart about it, maana ushauri mwingi alioupewa akiubeba the way ulivyo anaweza bomoa badala ya kujenga. Benefit of doubt ni muhimu, natumaini analielewa hili; na hilo la kuzuia mahusiano kati ya mkewe na friend wake, yaweza bomoa maana ni kumlazimisha achoose betwee two unequal yet important people. Umuhimu wa mume hauwezi kuwa sawa na wa rafiki, na wa rafiki hauwezi kuwa sawa na mume; so he might loose completely au akasababisha uhusiano wao ukawa wa siri na baadaye kwenda another level ambayo mume anaweza akaipanda kwa kumuhisi. Imagine, akimtuhumu kuwa ni bwana wake, tayari anamuwekea wazo au image ya friend kuwa bwana (in bed and all that), na kero (nagging) zikizidi; badala ya mwanzo alivyokua say anapata ushauri tu sasa itaenda kwenye kukumbatia na mambo mengine. Kwa maoni yangu alivyoihandle issue pettycash ni vyema zaidi ya mke wa best wa mkwewe. Anyway, ni mtazamo wangu tu.