Acha wasiwasi. Mwalimu ni mbunifu na anajua anachokifanya siku zote.Walimu mnatafuta kiki hatujasahau mlichomfanya yule dogo
![]()
![]()
![]()
![]()
Amina mkuuHongera sana na Mungu akuangalie daima
Ni kweli aisee.. Nimetafutwa sana na hata wengine wananiletea watoto hapa ofisini na wengine wanataka niende kwao kuwafundisha. Ila nimejipanga kufanya kazi.hongera najua ushaanza kutafutwa na shule kubwa usiwaache watoto wa masikini kwa tamaa ya hela ualimu ni wito tumikia wito wako blv me or not utafanikiwa ukiwa hapohapo
Jibu hili nadhani ni la faraja sana kwa mtu mwenye akili. Nakupongeza sana Mkuu.Walimu hatuwezi kutafuta kick kupitia mitandao ya kijamii. Kama ni kick IPO tu. Kitendo cha wewe tu kujua ku-log in hapa JF tayari kick kwa mwalimu.
Tatizo sio hata la kwako, wewe kudharau walimu ni matokeo ya kitu kingine kabisa ambacho kwa uelewa wako (maana tayari nimeshakupima) wala hautanielewa. Nikusamehe bure tu.
Asante Mkuu. Nafikiri pale Mnma palinijenga kiasi kwamba niliporudi nilikuwa bora zaidi. Naamini ni mchango wenu pia walimu wangu. Nirudisha pongezi zangu kwenu pia Mkuu.Hongera sana Aron Athanas
Huyo mmoja alipata maswali yote ya somo la hisabati , mtihani wa taifa kwahiyo alikuwa bora kwa wote waliohitimu.Ni 1 katika wangapi
Asante sana ndugu yangu.Hongera Mwalimu.
Asante kaka Henry mtoto wa masikini hukombolewa na Mtu anayejali. Labda tuseme wazalendo ndiyo wataoifanya nchi hii iendelee kwa nguvu na maarifa yao.Mwl Aron Atanas hongera, na boresha zaidi na zaidi ubunifu huo ili kuwasaidia watoto wa masikini
Asante ndugu. Umeongea vema sana.Hongera Sana Mwalimu. Nakusihi uendelee kuwatumikia na kuwajali watoto hawa wa Tanzania yetu. Pamoja na changamoto zinazoikabili kada hii ya ualimu bado naamini kuna kitu ndani ya walimu ambacho kikishamuingia mwalimu basi kumtoka ni kazi (labda ndio wito)
Pamoja na juhudi hizi, ni muda muafaka sasa wadau wote kuunganisha nguvu ili juhudi hizi zisiishie njiani. Viongozi serikalini hivi karibuni wameonekana kuwa na hali hasi kwa walimu. Pamoja na mazingira yao magumu ya kazi wamekuwa watu wa kufokwa, na hata kudhalilishwa. Itoshe sasa na wapewe motisha zaidi.
Mwaka gani huo? Mbuyuni kwa sasa wapo akina mwl Mwinyiongera mwalimu, msalimie mwalimu OMAR ALINIFUNDISHA MBUYUNI MIAKA MINGI hIVI YUPO HAI KWELI?
NI mkali wa namba mbya mtu huy.!
mwka 1994-2000.Mwaka gani huo? Mbuyuni kwa sasa wapo akina mwl Mwinyi
sio mbaya ukiwafundisha hao wanaokuja hapo kwako au hata ukiacha kazi ila uwe na uhakika wa ajira unayoenda kuifanya tumia akili yako vizuri nakutakia mafanikio memaNi kweli aisee.. Nimetafutwa sana na hata wengine wananiletea watoto hapa ofisini na wengine wanataka niende kwao kuwafundisha. Ila nimejipanga kufanya kazi.
Jibu hili nadhani ni la faraja sana kwa mtu mwenye akili. Nakupongeza sana Mkuu.
Yupo hai.. hadi hivi miaka ya karibuni alikuwa anafundisha msasani.. sina uhakika kama ameshastaafu... jamaa ni kichwa mno.. back in the days mbuyuni kulikuwa na omary. msasani hyera.. wakali wa namba haoongera mwalimu, msalimie mwalimu OMAR ALINIFUNDISHA MBUYUNI MIAKA MINGI hIVI YUPO HAI KWELI?
NI mkali wa namba mbya mtu huy.!
Lazima atakuwepo. Ngoja ntamuuliza mwalimu mwinyi , alafu nitakujuzamwka 1994-2000.