VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Hapa ndipo ninashawishika kuona anafanya maigizo! Yaani waliokuwa wanahoji hii mikataba ndo anataka watolewe nje ya bunge? Kwa hili rais anapaswa afute kauli!Aisee kwa hili hata mimi nampongeza ila shida moja tu bado anaona wanaopiga kelele bungeni na kupewa adhabu na kina Ndugai ndio wakosaji wakati wakosaji ni hao wa chama chake na ndio walio tufikisha hapa
Huyu mzee huwezi kumwelewa hata siku moja, kama anakashifu viongozi wa dini sembuse wanasiasa.Nisaidieni kumwelewa Rais wangu jamani; Sheria irudishwe bungeni ijadiliwe upya na wale walioupitisha alafu watolewe nje wale waliokua wanaitaji irudishwe waijadili upwa.
Au Mimi ndo sijaelewa hapa; uTaifa wetu umepotelea wapi?
Akina kibajajiBunge haliwezi kusaidia upatikanaji wa sheria nzuri.
Bunge haliwezi kusaidia upatikanaji wa sheria nzuri.