Nampima lowassa kwa uchaguzi arumeru

ARKADI MAKONA

Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
14
Reaction score
2
Kama Mtz yeyeto yule naweza kutumia kigezo chochote kile katika kumkubali kiongozi mmja kati ya wanaotajwa na jamii kuweza kupewa nafasi ya kuongoza.Naomba kuweka wazi kuwa nasukumwa na nafsi yangu kumpima EL kwa matokeo ya leo Arumeru sababu anao uwezo mzuri wa kuongoza lakini ili niwe mfuasi wake nahitaji kuona kama anao uweza wa kunipa ushindi endapo nikiwa shabiki wake na uchaguzi Arumeru ndo kipimo katika hili!
 
Nakushauri usimpime EL bali pima vyama.Matokeo ya Arumeru ndio reflection ya 2015!. Chama kitakachoshinda ndicho kitakacho shinda 2015!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…