just 50 %
ni ktk kupooza tu speed ya mapigo ya moyo juu ya huyu mrembo
ndio maana nimeitupia jamvini ili nipate moo elaboration kwenu
nadhani hayo yote yatafahamika tu mara baada ya preliminary procedure kufahamika ndipo maswala ya mastercard and so 4th yatajishughulikia, usiwe na hofu kitendo cha mm kufunguka jamvini ni ishara tosha tu kwamba ni fit kucompete na public wen my mrembo wll spik out abt her consentMimi kaka yake, una sh. ngapi? una Tembo card au Master card? Fanza maandalizi familia yetu matata hatuna masikhara kwenye habari ya kumkabidhi mtu Malkia!