Kaolewa na Serengeti boy mdogooHivi kaolewa huyu binti?
Ohooooo!!!Yeah karamu imeshawahiwa
Duh!!!Kumbe kuna kakijana anakabemenda.Kaolewa na Serengeti boy mdogoo
Duh!!!Kumbe kuna kakijana anakabemenda.
Ohooooo...!Hivi kaolewa huyu binti?
Duh!!!Ila kwa muonekano anaonekana kama kijana wa kihuni huni hivi.
Ndio maisha ya mjini haya, hata mie ningechelewa chelewa kupata mzee mwenzangu pengine ningejinyakulia mcheza komborela