RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,052
- 529
Ana watoto wake wawili ambao alitoka nao kwa mmewe wa awali, sikufahamu maisha yake baada ya kupotezana naye kwa takribani miaka 9 wakati huo sikuwa na ukaribu naye mkubwa, ni ile kufahamiana tu.
Nilikuja kuonana naye akiwa ameshazaa hao watoto na akiwa ameshatoka kwa mmewe huyo. Nilikuja kufaham kweli alitoka mwenyewe kwa mmewe, maelezo yake ni kuwa mmewe alikuwa kiwembe.
Nilianza kuwa na ukaribu naye tulipoonana naye mwaka jana January nikiwa ktk harakati zangu za kibiashara, (nafanya biashara ya simu na vifaa vyake, nikamsaidia kumpelekea simu yake kwa fundi, na hivyo nikamsaidia simu kwa ajili ya mawasiliano wakati yake naishughulikia kwa fundi. So through that nikawa na mawasiliano naye.
Siku moja nilimtoa out ktk moja ya fukwe za ndani hapa jijini kwa ajili ya maongezi. Niliongea naye kwa kirefu, kwa kuwa tayari nilifaham kiasi kuhusu maisha yake nilishawishika kumsaidia kuendesha maisha yake. Tukawa marafiki, marafiki kweli....!!
Mambo mengi yalipita katikati hapo mwisho tuliangukia ktk mahusiano ya mke na mme, tulikubaliana hivyo baada ya urafiki wa karibu sana na kumjali sana bila chembe ya masharti au matarajio ya kumfanya kuwa mpenzi au mke wangu, yeye ndiye aliyepropose hivyo.
Watoto alikuwa amewapeleka kwa bibi yao, taarifa zikawa zinakuja kuwa watoto wanauguaugua tukashauriana akawachukue.
Watoto walikuja lkn hakuwatambulisha moja kwa moja km mm ni baba yao, kwa kuwa sikuwepo wakati wanakuja (nafanyia shughuli zangu nje ya mji anapoishi), nikawa naongea nao ktk sim walikuwa wananiita uncle, nilipokuwa nakuja mjini nikawa silali pale lakini nilikuwa nashinda pale, natoka nao, tunafanya manunuzi na muda wote walijua mm ndo nawahudumia.
Ilikuwa vigumu kidogo kuwaingizia pin kuwa mm ni baba yao, tulishauriana yy awaambie lakini hakuweza nikamwambia aniachie kazi hiyo mm.
Nikawa naongea sana na watoto kwa simu, siku moja nikawatega nikawauliza tu; " napenda sana kuja kuishi na nyinyi, mtapenda?" wakasema wanapenda tena sana, nikawauliza "sasa mi nikianza kuishi na nyinyi mtapenda niendelee kuwa uncle yenu au baba?" wakasema kwa pamoja uwe baba (kumbuka yote haya niliyaratibu mm bila mama yao kujua kuwa lini nimepanga kuongea nao nn, kwa hiyo walijibu wenyewe bila msaada wa mama yao, wala hakuwa karibu wakati naongea nao)
NTAENDELEA kwnye comments punde..