Mpambano mkali wa ma miss ilikua Miss Ilala..Mbiki Msumi na Hoyce Temu....kisha ukahamia tena Miss Tanzania..Mbiki tena na Hoyce Temu
Emily Adolf mbn alikua mrembo..ila sio kivile..mrembo kwangu Mercy Galabawa,Sylvia Bahame, Marian Ikoa
Ewaa huyu nae alikua pisi haswaongezea na Aminata wa Keita...
Ewaa ni Angela Damas ..mpambano ulianzia miss ilala...ukahamia Miss Tanzania..Halafu nimekumbuka, kama sijakosea mpambano ulikuwa ni kati ya Mbiki vs Angel Damas...
Kabisa Miss Tanzania sasa hz imekosa mvuto..pamoja na kuwa chini ya Basila lkn badoIla miss Tz ya enzi zile ilikuwa 🔥🔥🔥. Siku hizi unashangaa tu miss Tz imeshafanyika; hatuna habari
Ndio hakuimba ila alifanya vizuri sana kwenye videoNa zali la mentali hakuimba yeye ujue alitokeaga tu kwa video....ila tuseme tu huyu dada ni mrembo, ni mzuriiii
Huu ulikuwa mpambano wa aina take. Mmoja black beauty mwingine shombe shombe wa Kizungu. Pambano lilienda mpaka matuta baada ya dakika za nyongeza kushindwa kutoa mshindiHalafu nimekumbuka, kama sijakosea mpambano ulikuwa ni kati ya Mbiki vs Angel Damas...
MzuriA woman of principles
View attachment 2963631
Dah, umenikumbusha mbali sana.Huyu msichana na sasa mwanamama wa miaka 2003 miss Tanzania 🇹🇿 nampenda sana. Sinaga muda mwingi kumtazama ila angejua wengi tunavyovutiwa naye basi angefungua pazia.View attachment 2963632View attachment 2963633
Si upendo wa kiuchafuchafu ngonoana hapana. Nampenda alivyo tuuu hata sijui alikosaga vipi kuwa miss namba moja miaka ile.
Niliishi naye haka katoto block41,wakati kanasoma kalikuwa esacs academy kalikuwa kabichibichiDah, umenikumbusha mbali sana.
Mdogo wangu huyu. Alikuwa ananielewa na kuniheshimu kaka mkubwa mpaka raha.Niliishi naye haka katoto block41,wakati kanasoma kalikuwa esacs academy kalikuwa kabichibichi
Mara paap badaye kakaingizwa kwenye umiss umiss
Ova
Nimeanza kupata maana ya wimbo wa mwana FA, mabinti.Emily Adolf mbn alikua mrembo..ila sio kivile..mrembo kwangu Mercy Galabawa,Sylvia Bahame, Marian Ikoa
Hahahahaha..ule wimbo aliwataja wale walibwende wa nchiNimeanza kupata maana ya wimbo wa mwana FA, mabinti.
Hahahahaha..ule wimbo aliwataja wale walibwende wa nchi
Kumbe kipanya alikojolea pazuri namna hio, af kipindi kile toto bichii! Sahizi atakua anakaribia 40sKipanya alimuwahi huyu Sema naona yaliishia njiani
Ndiyo alimuwahi alikuwa hot cake sana huyu binti angalia wimbo wa prof JKumbe kipanya alikojolea pazuri namna hio, af kipindi kile toto bichii! Sahizi atakua anakaribia 40s
Sema demu akiwa mzuri ni mzuri tu kmmmk walai. Mtoto anazeeka na urembo wakeNdiyo alimuwahi alikuwa hot cake sana huyu binti angalia wimbo wa prof J