Nampenda sana Mimi Mars mpaka nahisi kuugua

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Jul 14, 2017
1,119
1,095
Jaman kwa kweli huyu mrembo kanivuruga vuruga sana, yaani mimi nampendaga tu yaani, kisura chake, umbo lake mm hoi taabani. Aliye karubu naye afanye mpango basi nipate hata namba zake, mimi kusikia sauti yake tu itakuwa tiba tosha kwangu.
images.jpeg
images-1.jpeg
images-2.jpeg


Nakupenda sana MIMI MVRS.
 
Mwanafunzi wangu, primary darasa la 5,6,7. Enzi hizo nimetoka chuo nasubiri mipango ya ajira nikajishikiza kwenye ualimu.
Mmmh mbn kama hujamaliza umeishia njiani hebu malizia hiyo story yako. Eeeheh ikawaje baada ya hapo.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom