Nampenda sana Mahondaw

Nampenda sana Mahondaw

Aliefanya hivo sio vzur and mu mpuuze tu... Lkn Mkuu Mahusiano yenu yasiwe mahusiano ya Jf mnachafua mandhari humu. Mnafanya ez if wengi watoto humu... Huo ni ushamba...
Umaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi... Usahihi unakuja pale kuepuka watu kama hawa...

Kutokuwa sahihi ni... Why not living our lives... As long as hatuvunji sheria za nchi... Why not show all the love to mahondaw wangu...


Nikuambie kitu... Kheri kuwa muwaza na mkweli utaishi maisha ya amani sana... Kuliko kuishi maisha ya kujificha ficha...


Hatuna sababu ya kujificha ficha kwa sababu its our live... Why tujifiche wakati nanae mahondaw tu... Na yeye anae Smart911 tu...


Hata JF siku ikiamua kuweka vitanda humu ndani tutalala tu bila woga...
 
Woow hatimae Alhamis unamvisha pete mohondaw... Itabidi nije kupiga makofi jamani lol
It was supposed to be a surprise and only between us.. Hata yeye alikuwa hajui... But kwa hisira nimema tu... I wish isiiuone huo mstari...
 
unajua kilichofanyika leo kimesababisha athari sana na kama mpo kwenye jokes hebu jirekebisheni... nijuavyo mimi hapa JF wengi hatujuani na ndo maana nina uwezo wa kumtania yoyote.. mfano mzuri miss chagga muda mwingi namwita baby.. mara mke ila nje na JF sijawahi hata kumuona!!!
kama kuna mengine hebu jaribu ku'fix nje na JF mnaharibu sana wakuu...!!!!
 
Haki tena Ni mengi sana yanaendelea chini kwa chini tena ni wanaume wazima hovyooo
Utafikiri wanafilwafilw mxxiiiiiiiooouuuusssss
Mkuu kwa haya matusi mmmh sijui mtu anakuaje na mpenz wa ivi kwanini usitulie tu ungeonekana na busara lakini matusi haya si kwa mwanamke ambae ana mpz mwny malengo au ni mke na mume huwezi tukana ivi ungekaa kimya tu
 
Huyu jamaa choko saaana,kaja kajijibu kama mahondaw...kipnd hcho ID ya smart911 ilikuwa kimya..saiv kaja kujib kwa ID ya smart911 ambapo ID ya Mahondaw ipo kimyaaaa!
It is least of my concerns to care about what people say or think about me and my mahondaw... You can believe whet ever u want.. Ndiyo maana hata kuna uhuru wa kuabudi... Sikulazimishi uamini ukweli wangu... Endelea kuamini uongo wako...
 
unajua kilichofanyika leo kimesababisha athari sana na kama mpo kwenye jokes hebu jirekebisheni... nijuavyo mimi hapa JF wengi hatujuani na ndo maana nina uwezo wa kumtania yoyote.. mfano mzuri miss chagga muda mwingi namwita baby.. mara mke ila nje na JF sijawahi hata kumuona!!!
kama kuna mengine hebu jaribu ku'fix nje na JF mnaharibu sana wakuu...!!!!
Mimi na mahondaw tunajuana.. Tunafahamiana na tunafanya mengi na tuna plan kibao... Ndiyo maana tupo serious kama tulivyo...

Tusingekuwa serious, tungeona poa tu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom