Nimependana na mwanaume kupitia mtandao mmoja hv na muda mfupi baada ya kupendana aliniomba nimsaidie pesa nikamwahidi kumpatia lakini nikawa nimepata tatizo kidogo hivyo ckufanikiwa kumpa kiasi chote alichoomba nikawa nimemtumia na alikuwa akionesha mapenzi ya hali ya juu ingawa hatujawahi kuonana tulipanga tuonane mwezi wa nane lakini ghafla amebadilika mawasiliano hakuna tena nikimpigia cm yake iko busy 24hours cjui ndivyo ameseti hivyo cha kunishangaza nikitumia namba nyingine cm inaita kama kawaida ila hapokei sasa juzi nilitumia namba nyingine alipokea na ananiambia kuwa anataka kuja kwangu kunitembelea sasa ndugu zangu naombeni ushauri kwa hili jambo