Nampenda sana lakini ana mke

Nampenda sana lakini ana mke

issabella

Member
Joined
Mar 15, 2016
Posts
61
Reaction score
32
Habari zenu, naitwa Issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo naye takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu hajawahi kuniambia ana mke wala watoto na hajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kama ana mke.

Lakini siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambaye nipo naye ni mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha nikaona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia hajaniambia kwasababu aliogopa nitamuacha lakini bado ananipenda na atanioa......ushauri kwenu nifanyaje?

Nimuache au niendelee naye? Kiukweli mimi pia bado nampenda sana lakini sipo tayari niolewe na mtu ambaye ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
 
Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
Kumbuka Mungu alivomuumba Adam na kisha kutoka katika ubavu akotea mke sio wake.
Achana na huyo maana tayari yuko na ubavu wake, tulia,omba Mungu akuoneshe kwenye nafasi yako.

Ila pole maana najaribu kuyawaza maumivu yako.
 
Samahani Issabela hawa followers umewapata leo baada ya huu uzi au ulikua nao kitambo?
 
Yaani wewe eti unataka USHAURI,wakati huo huo unatuambia HUTAKI kuolewa na mtu mwenye mke na wakati huo huo unatuamba UNAMPENDA SANA sasa ni ushauri gani unaoutaka?????

Ushauri nifanyaje ili niweze kuachana nae angali bado nampenda
 
Kwnn umeuliza hivy....ukinijib namm nitakujb
Kwa sababu naona umepost si zaidi ya mara 43 na ushapata followers ndiyo nauliza ikiwa ni uzi huu ndo imewaleta karibu au walikuepo kabla ya uzi huu.
 
Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
Achana na mtu Muongo...
Njoo unipende Mimi mwana kusi
 
Back
Top Bottom