Nampenda sana, jamani naomba ushauri

Nampenda sana, jamani naomba ushauri

Lakini mkuu wewe hukupata ugonjwa wa moyo wala vidonda vya tumbo!!!
Jaman! Mtu hutengana hata na mzazi wake ikiwa anamletea madhara!

hiyo ni kwaajili ya utoto tu kaka,mnapozidi kuwa watu wazima mtakaa sawa tu.hata mimi na wafu tulikuwa hivyo hivyo,tangu tunatongozana mpaka tunafunga ndoa ilikuwa ni baada ya miaka 9,tulikuwa tukikorofishana sana,yaani mpaka marafiki walikuwa wametuchoka mpaka wakatushauri tuachane.lakini kila nikianza kutafuta dem mpya mawazo yanarudi kwa mwenzangu au utakuta wakati wewe unahaha kutafuta mwingine yeye anakuwa mpole yaani unakata tamaa mwenyewe kuendelea na michakato.(sio kwamba anajua unatafuta,hapana.inatokea tu anakuwa kama ndo mwanamke aliyetulia sana)mpaka siku tunafunga ndoa kila mtu alikuwa anaamini hatuta maliza hata miezi sita,lazima makesi yetu na usuluhisho uwe wa mara kwa mara.YAANI NAKUHAKIKISHIA,TULIPOTOKA TU KANISANI KUFUNGA NDOA SIJUI NA MAUGOMVI YALIISHIA WAPI.TUNAELEKEA KUUMALIZA MWAKA WA NNE SASA,HAKUNA CHA UGOMVI WALA NINI.YAANI HATA SISI HUWA TUNAJISHANGAA ILIKUWAJE,SANA SANA TUNABAKIA KUTANIANA TU.HUWA NAMWAMBIA SIKU NIKILIANZISHA NITAMBEBA NIKAMTUPIE PADRI ALIYETUFUNGISHA NDOA ILI AMPELEKE KWAO,SI ANAJUA JINSI AMBAVYO HUWA NIKILIANZISHA HALI INAVYOKUWA...TUNABAKIA KUCHEKA NA KUFURAHI TU.YATAKWISHA TU
 
Hahahahahah nimefurahi sana story yako... haina tofauti na yangu.
 
angalia chanzo cha ugomvi,ukishajua chanzo,epuka chanzo hiko ili msiendelee kugombana
 
fanya kama anavotaka hamta gombana. ukijifanya mjuaji, mjanja, unamsaliti na kumdanganya na kuaribu mipangilio so ndio tatizo mwisho utajifunga kamba shingoni
 
Poleni sana. Mmekaa md mrefu sana. Vp unasita kumuoa? Labda anaona unamweka ama huna mwelekeo. Sina hakika ila angalia moyo wako unasemaje. Mpeane nafasi ya kutafakari. Hayo magonjwa si yatakuua kisa mapenzi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom